Natafta muoaji wa ukweli

Natafta muoaji wa ukweli

Hizi ndo zile ndoa ambazo michepuko haiwezi ikakaa kuisha aisee, yaani mtu anaamka tu na kukurupuka eti anatafuta muoaji duhhh!
 
kwani kuna muda muafaka wa kutafuta? hajakurupuka ameona muda unaenda jamani, kaamua bora atafute mwenyewe kuliko kusubiri kutafutwa
 
Kama wewe upo serious mbona hujaweka vigezo vyako humu ili na sisi tulio serious tupime na kuona kama unafaa? Hata kama una picha sio mbaya ukaiweka au ukishindwa tupe muonekano kwa maneno tu. Usisahau kutuambia na tabia yako ikoje.
 
Hizi ndo zile ndoa ambazo michepuko haiwezi ikakaa kuisha aisee, yaani mtu anaamka tu na kukurupuka eti anatafuta muoaji duhhh!

Sio kweli hata kidogo Imani na how discipline u r
Kama ni MTU Wa michepuko utakua Wa michepuko tu hata uoe malaika
 
kwani kuna muda muafaka wa kutafuta? hajakurupuka ameona muda unaenda jamani, kaamua bora atafute mwenyewe kuliko kusubiri kutafutwa

Plus ni heshima pia kujitambua
Angeendelea kuigiza mpaka lini wakat anajua anatamani ndoa au anatamani kua na MTU serious?
Nakuunga mkono #mrsleo tunapaswa kuheshim mawazo ya watu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom