"Natafta Mchumba Maeneo Masaki"

"Natafta Mchumba Maeneo Masaki"

Pelham 1

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2012
Posts
548
Reaction score
100
Wanajamvi niaje
Mpo poa
Kwa wale Madarali
Natafta mchumba maeneo ya Masaki
1. Awe Wakishua mpambanaji
2. Anaejue mapenzi na nn maana ya kupendwa
3. Mwenye sura nzuri
4. Shep ya ukweli
5. Na asie na malingo
Madarali kazi kwenu changamkia tenda hiyo?
 
Sasa kama upo serious si uende love connect?
Watu tupo hapa kupunguza stress.
 
ucjali utapata tu,ukikosa tembelea maeneo ya Rosana-buguruni.
 
nimempata ni mzuri na ana sifa zote na yupo teali kuolewa ata kesho ila ni shoga.. kama upo tayari namba zangu ni T 123 ABK
 
Nenda kagoogle then download utampata.
 
Wanajamvi niaje
Mpo poa
Kwa wale Madarali
Natafta mchumba maeneo ya Masaki
1. Awe Wakishua mpambanaji
2. Anaejue mapenzi na nn maana ya kupendwa
3. Mwenye sura nzuri
4. Shep ya ukweli
5. Na asie na malingo
Madarali kazi kwenu changamkia tenda hiyo?

Madarali au Makuwadi? Mbona unachanganya mambo!...
 
mchumba masaki? unazo za kutosha? i mean fweza.....
 
Unataka wa masaki? Coco beach wamejaa tele siku hizi. unapick unayetaka. ile tabia tu inabadilika! wa bugurun wachafu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom