Natabiri Yanga vs Mamelod kukosa watazamaji uwanja wa Mkapa

Acha ujinga mkuu,unadhani kwanini simba ina followers wengi kuliko yanga?
Ungekua na akili usinge uliza swali la kijinga hivyo! Nenda page ya timu yoyote angalia comments kama wote ni mashabiki wa hio timu alf uje na ujinga wako huo
 
Inawezekana Yanga wasi ujaze uwanja lakini kwa mujibu wa Tff, Yanga ndio klabu inayo shikiria rekodi ya kuingiza mashabiki wengi viwanjani wakati timu yao inacheza.
Huwa hawafuatilii rekodi za kila msimu wanakurupuka tu.
 
Unakua mpumbavu..kwamba utopolo hamjazi uwanja halafu hapo.hapo mnajinasibu kushikilia rekodi ya kuingiza mashabiki wengi..hii akili matope...
Semeni.ukwel tu mashabik.wengi aina yako ambao ndio mko wengi ni WALALAHOI, MAKAPUKU, kelele na porojo mnaziweza kwenye vijiwe tena hapo mmekaa.juani hata hamjui kula yenu huku mnamtukana Clotus Chama anayepokea milioni 40 kwa mwezi kama mshahara huku mkimpapatikia Pakuma zuazua ambaye maskin ya Mungu hata elfu mbili hajawahi kuwapa, kununua jezi hamuwezi, kadi ya uwanachsma.hamna, yani ni USELESS FANS...
Mbona mashabiki wa simba siku hizi mmekuwa na hasira sana?? Shida nnn
 
Kelele zote hizi zimeletwa na yule mimacho kulembua.

Nb. Ongeeni lakini mwisho wenu ni tarehe 30, pale wananchi watakavyo fanya kitu mbaya huyo shangingi mwenzenu kutoka bondeni.
 
Unakua mpumbavu..kwamba utopolo hamjazi uwanja halafu hapo.hapo mnajinasibu kushikilia rekodi ya kuingiza mashabiki wengi..hii akili matope...
Semeni.ukwel tu mashabik.wengi aina yako ambao ndio mko wengi ni WALALAHOI, MAKAPUKU, kelele na porojo mnaziweza kwenye vijiwe tena hapo mmekaa.juani hata hamjui kula yenu huku mnamtukana Clotus Chama anayepokea milioni 40 kwa mwezi kama mshahara huku mkimpapatikia Pakuma zuazua ambaye maskin ya Mungu hata elfu mbili hajawahi kuwapa, kununua jezi hamuwezi, kadi ya uwanachsma.hamna, yani ni USELESS FANS...
Au ni kinyume chake. Mashabiki wengi wa Simba ni watu wa vijiweni tu hawana kazi maalum. Mashabiki wengi wa Yanga wana business zao hawana muda wa kwenda uwanjani. Usipende sana kujikweza bro.
 
Simba wana viongoz waajabu sana, wamevizia yanga walivyotangaza mzunguko bure, wenyewe wakaja na ticket zote sold outviongoz wa Simba acheni utoto!
 
Upo Sawa, nakubaliana nawe Asilimia 100. Umetabiri Sawa Kbs....!

Labda Itokee GSM atoe ofa kwa Mashabiki awalipie Yeye Waingie Bure..!!

Bado tatizo la Wana Yanga kushindwa kujaza uwanja ni kizingumkuti...!
Hatimae huu ushauri umefanyiwa kazi.
 
Kama kawaida sisi mashabiki wa Yanga sio watu wa kwenda uwanjani ni wazuri wa kelele barabarani na kwenye vijiwe.

Wakati wenzetu Simba wakijaza uwanja kama kawaida yao sisi hatutajaza na tutakuja na visingizio kibao na lawama kwa uongozi.

Daima mbele nyuma mwiko.
Na huu utabiri wako usipotimia, tukufanye nini?
 
Utabiri wako umefanyiwa kazi na viongozi wa utopolo. WATAINGIA BURE kabisa yaani tiketi kuwahi, na bado hawatajaza uwanja
 
Kitachofanya uto wasije taifa ni hofu ya kurudi home saa 3 usiku afu mmekufa 5 bila,nani afanye ujinga huo surely??
 
Back
Top Bottom