Natabiri mwaka 2012.............!

Natabiri mwaka 2012.............!

mhondo

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2011
Posts
968
Reaction score
359
Kwa mara ya kwanza baada ya miaka kadhaa tutaanza mwaka mpya bila utabiri/uongo wa yule kipenzi cha Ikulu Sheikh ....
Au kuna mtu mwingine anaweza kutupa utabiri wa mwaka 2012?
 
Ugumu wa maisha hutaongezeka maradufu mfano petrol, mgao wa umeme,sukari
 
kiongozi mkubwa atafariki na kwa upande wa serikali itatengeneza noti ya 20,000 na noti ya 500 itakuwa sarafu haitakuwepo sarafu ya 50.

ili haya sitokee itabidi wananchi tuvae pete za rangi ya udhulungi.

RIP shehe yahaya
 
Dah. Yule Sheikh nilikuwa simpendi kiasi kwamba huwa ninapata faraja kila nikikumbuka kuwa alishakufa..!
 
Ha ha ha
dah! Eti mtu anakufa wengine wanapata faraja!!!

Dah. Yule Sheikh nilikuwa simpendi kiasi kwamba huwa ninapata faraja kila nikikumbuka kuwa alishakufa..!
 
Utakuwa mwaka wa wafanyakazi secta ya umma kukosa mishahara yao ya kila mwezi kwa wakati,hawatapandishwa vyeo,na utakuwa mwaka wa CHADEMA kupata wafuasi wengi kuelekea 2015,pia utakuwa mwaka mugumu kwa serikali kuhusu mchakato kupata katiba mpya
 
kiongozi mkubwa atafariki na kwa upande wa serikali itatengeneza noti ya 20,000 na noti ya 500 itakuwa sarafu haitakuwepo sarafu ya 50.

ili haya sitokee itabidi wananchi tuvae pete za rangi ya udhulungi.

RIP shehe yahaya

Na wewe uliachiwa mikoba nini maana ulipotaja tu na aina ya pete ya kuvaa nikakumbuka maelekezo ya mapete yake.
 
kiongozi mkubwa atafariki na kwa upande wa serikali itatengeneza noti ya 20,000 na noti ya 500 itakuwa sarafu haitakuwepo sarafu ya 50.

ili haya sitokee itabidi wananchi tuvae pete za rangi ya udhulungi.

RIP shehe yahaya
ah haaa haaa haa..........mkuu umenkumbusha moja ya washauri na waasisis wa awamu ya nne wa pale magogoni,mana ndo alikua mtabiri wa nchi kupitia magogoni pale
 
Kumbe yule ... Hakuacha wafuasi wengi basi inabidi tumshukuru Mungu maana hakuna wakutisha watu kwa Mwaka 2012 ikizingatiwa pia utakuwa ni mwaka ambao CCM watafanya uchaguzi wao mkuu.
 
ugumu wa maisha utaongezeka sisi tunaokaa shamba tutashindwa hata kununua robo kilo ya sukari
 
Utakuwa mwaka wa wakubwa kukimbia vt kama libya,coz chadema inazd vuta kac kla kukicha.
 
ah haaa haaa haa..........mkuu umenkumbusha moja ya washauri na waasisis wa awamu ya nne wa pale magogoni,mana ndo alikua mtabiri wa nchi kupitia magogoni pale

lol... Yaani JK ameturejesha enzi zile za Mafarao wa Misri....ambapo jamaa alikuwa na jopo la wachawi wa kumsomea hali ya upepo wa kisiasa na uchumi na maadui zake...!
Ok, tugange yajayo wazazi..!
 
viongozi wengi wa ccm hasa wabunge watadanja(watakufa ) na huo utakuwa mtaji mkubwa kwa CDM kuelekea 2015.

kuzuia hilo lisitokee JK anatakiwa ajiuzulu ifikapo mwezi wa pili.
 
Imani za watu usizikejeli
kama alikuwa muongo wewe uongo wake unakutatiza nini
lets 2012 express our self kulibadirisha taifa na janga la njaa
 
natabiri wakati umelala hutoweza kurusha thread jf.
 
Back
Top Bottom