Natabiri matokeo ya Simba vs Geita gold yatauwa (6-0)

njaakalihatari

JF-Expert Member
Feb 12, 2019
4,084
8,663
Simba leo wamefanikiwa kutoa gundu la kipuuzi kabisa, geita gold amekula goals 6-0 huku mfungaji wa goal la kwanza akiwa ni clatous chama dakika ya 7

Haijajulikana kilichosababisha simba waonyeshe mpira mzuri na wenye kasi kama walivyofanya leo na bado haiujulikani kama wata maintain kiwango hicho

Kwa matokeo hayo simba iko kileleni mwa ligi kwa points 3 na magoli sita ya kufunga huku ikiwa haijafungwa
 
Vyura sasa wanatyp kwa hasira naona tuu typing..... hahaha jamani acheni makasiriko
 
Hii ndo spirit ya shabiki wa Simba unainanga timu ila bado unaiombea mazuri safi sana mkuu
sitakaa niichukie simba ila nachukia tabia ya uongozi kwenye baadhi ya masuala kama kupuuza issue ya namba 6 na namba 9 iliyojulikna wazi tangu mwaka jana wanajua wakitudanganya kama watoto tutakaa kimya tu
 
Derjan tazama picha unataka nyumba sehemu ipi,kuna Masaki,Ostabey,Msasani?,,majibu ya Dejarn sasa,"hapana minataka kukaa nyumba moja na anapokaa mjomba Zollan Mark"
 
Simba leo wamefanikiwa kutoa gundu la kipuuzi kabisa, geita gold amekula goals 6-0 huku mfungaji wa goal la kwanza akiwa ni clatous chama dakika ya 7

Haijajulikana kilichosababisha simba waonyeshe mpira mzuri na wenye kasi kama walivyofanya leo na bado haiujulikani kama wata maintain kiwango hicho

Kwa matokeo hayo simba iko kileleni mwa ligi kwa points 3 na magoli sita ya kufunga huku ikiwa haijafungwa
1660736210079.png
 
Back
Top Bottom