Natabiri chama cha ACT-Wazalendo kuleta tetemeko nchini!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,786
Naona Membe, Raisi mstaafu Kikwete, Nape & Co. wakihamia act ya Zito Kabwe.

Huu ni utabiri wangu na sababu hasa ni ukaribu wa Zito Kabwe na Kikwete, career ya Zito Kabwe kisiasa unaweza kusema imefikishwa hapo ilipofika na Kikwete.

Kwa kifupi Zito Kabwe ni kama Mondi alivyo kwenye Bongo flava ambapo Kikwete alichangia kwa kiasi kikubwa sana kuinuka kwake, ...
 
Hakitakuja kutokea hicho kitu..never ever.. Ww ni ccm ila sijui unafikiri kwa kutumia nini
 
Naona Membe, Raisi mstaafu Kikwete, Nape & Co. wakihamia act ya Zito Kabwe.

Huu ni utabiri wangu na sababu hasa ni ukaribu wa Zito Kabwe na Kikwete, career ya Zito Kabwe kisiasa unaweza kusema imefikishwa hapo ilipofika na Kikwete.

Kwa kifupi Zito Kabwe ni kama Mondi alivyo kwenye Bongo flava ambapo Kikwete alichangia kwa kiasi kikubwa sana kuinuka kwake, ...

Hilo tetemoko acha lije. Litatupa fursa ya kuijenga upya Tandale ikapendeza.
Kwenye haya maisha hakuna kitu kibaya kama kuidanganya nafsi. Kama itafika siku watanzania wanne wakatetemesha wengine million hamsini na nne, ntahamia nchi mbadala, maana nina uhakika siku hiyo haitakaa kutolea.
Wana siasa acheni kujipa madaraka ambayo hamna
 
Naona Membe, Raisi mstaafu Kikwete, Nape & Co. wakihamia act ya Zito Kabwe.

Huu ni utabiri wangu na sababu hasa ni ukaribu wa Zito Kabwe na Kikwete, career ya Zito Kabwe kisiasa unaweza kusema imefikishwa hapo ilipofika na Kikwete.

Kwa kifupi Zito Kabwe ni kama Mondi alivyo kwenye Bongo flava ambapo Kikwete alichangia kwa kiasi kikubwa sana kuinuka kwake, ...

Hao wote uliowataja hapo juu hakuna hata mmoja anaweza siasa za nje ya siasa za mbaleko ya vyombo vya dola. Wangalau Zitto kwa mbali, lakini Zitto huwa hapati kashikashi ya vyombo vya dola. Hakuna mwanaccm anaweza siasa nje mbeleko ya vyombo vya dola. Na iwapo hao watajiunga na ACT wazalendo na wakaachwa kufanya siasa bila bugudha, basi hicho kitakuwa sio chama cha upinzani bali tawi la ccm lililo kwenye platform ya upinzani.
 
Ramli changanishi huanza hivi hivi
Naona Membe, Raisi mstaafu Kikwete, Nape & Co. wakihamia act ya Zito Kabwe.

Huu ni utabiri wangu na sababu hasa ni ukaribu wa Zito Kabwe na Kikwete, career ya Zito Kabwe kisiasa unaweza kusema imefikishwa hapo ilipofika na Kikwete.

Kwa kifupi Zito Kabwe ni kama Mondi alivyo kwenye Bongo flava ambapo Kikwete alichangia kwa kiasi kikubwa sana kuinuka kwake, ...
 
Mkwere Mjanja Wa Mjini kamwe hawezi kumkimbia Mshamba flani Mchunga Ng'ombe.

Mkwere ni bingwa Wa siasa za aina zote anayejua kula na kipofu vyema.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom