Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 19,641
- 14,248
Leo unasemaje?Kwa hiyo umekuwa Mpiga ramli, aisee na kweli hiyo kazi inakufaa sana

Leo unasemaje?
Endeleeni kujipa moyo. Nasikia huko kwenu mmeanza kutoana roho kwasababu ya Majimbo.Mkuu uliona mbali yametimia uliyoandika exactly
Mwaka 2020 niliombwa kutoa ushauri wa uchaguzi kwa chama cha CUF wilaya fulani. Nikawaambia chama chenu kimekwisha huku Bara. Ila mjikite sana kwenye Udiwani na Ubunge. Wakanijibu kama wewe ulivyonijibu tens wakaongezea, "CUF tunajiandaa kuchukua nchi wewe unasema tumekwisha!? Hufai kuwa mshauri wetu...! Leo wako wapi?Unataka kuniambia Polisi, Speaker, na Serikali ya CCM wanabaka Katiba kupambana na kivuli? Nilifikiri wangekuwa wamerelax sasa na kuweka nne na sio kihangaika kuliko "walioisha"
Miaka mitano siasa wamefanya CCM peke yao, wamewafunha magerezani, Wamemunua watu wao, wamefanua kila ujinga lakini bado CHADEMA waliweza kusimamisha wagombea Serikali za Mitaa kwa zaidi ya 85% ya nchi nzima.. 2014 waliweza 46% pekee!!
Ukiwa na mtindio wa ubongo ndio huwezi kuiona kweli.
Tatizo hapa siyo Lowasa bali naomba urejee bandiko lako kuhusu Ben Saanane.Hii ramli uliosema nimepiga imetimia au haijatimia? Lowasa karud ccm na chama kimepotea sema kingine.... Manabii wapo
Kongole kwako#TumainiEl, utabiri wako umetimia. Wameshasambaratika tayariNdugu wa Tanzania, mim nilie kuwa mwanachama wa chadema tangu nikiwa chuo na mpaka pale chadema ilipo badilika kuwa chama cha wapiga deals. Nimeona nitabiri yakuwa chama hiki kimekosa dira na ushawishi kwa vijana na hata wazee bila kuwasahau wapenda mabadiliko wote wa taifa hili.
Nimtu mjinga au mwenye fikra finyu anaweza kufikiri na kusifia eti chama bora tanzania tena cha upinzani ni chadema. Mim nasema hakuna kitu kama hicho, labda niwakumbushe yakuwa Mh Lowasa alipo ingia chadema ali ingia kwa ajenda ya siri tena siri kubwa sana.
Mchezo wa siasa ni mchezo wa hatari na wana ccm wanaujuwa kuliko mtu awaye yeyote ktk vyama vya upinzani na ndio maana cc tulio bahatika kujuwa haya tunasema chadema inaenda kumeguka kama sii vipande vitatu basi viwili. Mfano mzuri ni team Lissu ndan ya hiki chama na team Mbowe.
Uzuri nikwamba mbowe ni kijana mdogo tangu darasani mpaka kwenye siasa hawezi kumfikia Lissu hata chembe, nguvu ya Mbowe ni uchama ulio jikita ktk pesa na famil histor. Hiki sio chama cha watu ni chama cha mtu ndani ya Watu, nahili nijambo la hatari limekuja kujulikana.
Mh Lowasa hana mapenz yoyote ya hiki chama ila nataka kuwahakikishia huyu mzee angetaman kuona hiki chama ambacho kilitumika kumchafuwa taifa lote siku moja kinakuwa either chama chake au anakigawa kuwa vipande wote wakose. Nahii ndio siri nzito inaendelea. Usione thread zimeandikwa eti ccm wamepagawa kwa uteuz wa Vicent kuwa katibu mkuu. Huo ni uongo mkubwa nikinyume chake maana ccm ni majemendari wasiasa na wanajuwa mahal pakushika kwa kila chama. Kwa kumalizia chadema lazima isambaratike bila shaka ktk wakat ambao mim na wewe hatuto amini.
Mara nyingi mimi sipendi ubishi ila napenda kusema kile kinaweza kutokea wakati wowote ule kuanzia sasa, hili taifa lina historia nzito amabayo mimi na wewe huwenda hatujawahi kuisikia ama kuiona ktk fikra zetu au macho yetu, ikumbukwe kuwa hakuba chama chochote duniani kisicho kuwa na dira ambayo inakiongoza chama hicho kufikia malengo. Watanzania wote walikipenda chadema kwa umahiri wake wakutumbua mafisadi na isitoshe umahiri na ugwaji mkono wa chama hiki ilikuwa kuzima mafisadi ambao walikuwa ndani ya ccm. Lakini ktk hali yakushituwa mara chadema akazima hija ya ufisadi nakuwapaka mafisadi mafuta ya marashi mazuri, ccm wakaisoma namba wakabadilika na sasa chadema anapumulia machine maana icu karibia machine zizimwe mzimaji anahesabu tu ikifika kumi atazima yule mgonjwa aliopo icu lazima atangazwe marehemu.
Dhambi zote waweza kusamehewa ila sio usaliti usaliti ni dhambi inayo angusha mataifa, vyama na watu, chadema imewasaliti wanjonge na wafuja jasho wa taifa hili,chadema imesaliti marehem walio kufa ktk uwana harakati laity wangefufuka leo wangetembea taifa lote kuitukana chadema tena pasipo kutumia gari ila miguu.
usaliti ni dhambi mbaya kuliko zote chadema lazima iwe historia
You are just nonsenseChadema ndio waendesha migomo wakubwa vyuoni tena msitake kuleta pua tutawataja wote pambavu.
Watu wanaona mbali jombapweza mtabiri kombe la dunia 2010 pale south africa alichemka vibaya sna ktk utabir wake naona ushaanza kuwa pweza mtabir muda si mrefu utapondwa na mawe had kufa kama pweza mtabur kwa kuchemka
Ngumu sana chadema kusambaratika kama serikali waliwekeza nguv kule hii miaka mi5 na bado wanahaha nani wa kuweza hayo? Hadi spika saiv anafanya hiyo kazi kachukukuliwa had mbatia afanye hiyo kazi bado kwao ni ngumu chadema kimejengwa muda mrefu sana wameondoka watu muhimu sana lakin taasisi iko palepale.Watu wanaona mbali jomba
Ndugu wa Tanzania, mim nilie kuwa mwanachama wa chadema tangu nikiwa chuo na mpaka pale chadema ilipo badilika kuwa chama cha wapiga deals. Nimeona nitabiri yakuwa chama hiki kimekosa dira na ushawishi kwa vijana na hata wazee bila kuwasahau wapenda mabadiliko wote wa taifa hili.
Nimtu mjinga au mwenye fikra finyu anaweza kufikiri na kusifia eti chama bora tanzania tena cha upinzani ni chadema. Mim nasema hakuna kitu kama hicho, labda niwakumbushe yakuwa Mh Lowasa alipo ingia chadema ali ingia kwa ajenda ya siri tena siri kubwa sana.
Mchezo wa siasa ni mchezo wa hatari na wana ccm wanaujuwa kuliko mtu awaye yeyote ktk vyama vya upinzani na ndio maana cc tulio bahatika kujuwa haya tunasema chadema inaenda kumeguka kama sii vipande vitatu basi viwili. Mfano mzuri ni team Lissu ndan ya hiki chama na team Mbowe.
Uzuri nikwamba mbowe ni kijana mdogo tangu darasani mpaka kwenye siasa hawezi kumfikia Lissu hata chembe, nguvu ya Mbowe ni uchama ulio jikita ktk pesa na famil histor. Hiki sio chama cha watu ni chama cha mtu ndani ya Watu, nahili nijambo la hatari limekuja kujulikana.
Mh Lowasa hana mapenz yoyote ya hiki chama ila nataka kuwahakikishia huyu mzee angetaman kuona hiki chama ambacho kilitumika kumchafuwa taifa lote siku moja kinakuwa either chama chake au anakigawa kuwa vipande wote wakose. Nahii ndio siri nzito inaendelea. Usione thread zimeandikwa eti ccm wamepagawa kwa uteuz wa Vicent kuwa katibu mkuu. Huo ni uongo mkubwa nikinyume chake maana ccm ni majemendari wasiasa na wanajuwa mahal pakushika kwa kila chama. Kwa kumalizia chadema lazima isambaratike bila shaka ktk wakat ambao mim na wewe hatuto amini.
Mara nyingi mimi sipendi ubishi ila napenda kusema kile kinaweza kutokea wakati wowote ule kuanzia sasa, hili taifa lina historia nzito amabayo mimi na wewe huwenda hatujawahi kuisikia ama kuiona ktk fikra zetu au macho yetu, ikumbukwe kuwa hakuba chama chochote duniani kisicho kuwa na dira ambayo inakiongoza chama hicho kufikia malengo. Watanzania wote walikipenda chadema kwa umahiri wake wakutumbua mafisadi na isitoshe umahiri na ugwaji mkono wa chama hiki ilikuwa kuzima mafisadi ambao walikuwa ndani ya ccm. Lakini ktk hali yakushituwa mara chadema akazima hija ya ufisadi nakuwapaka mafisadi mafuta ya marashi mazuri, ccm wakaisoma namba wakabadilika na sasa chadema anapumulia machine maana icu karibia machine zizimwe mzimaji anahesabu tu ikifika kumi atazima yule mgonjwa aliopo icu lazima atangazwe marehemu.
Dhambi zote waweza kusamehewa ila sio usaliti usaliti ni dhambi inayo angusha mataifa, vyama na watu, chadema imewasaliti wanjonge na wafuja jasho wa taifa hili,chadema imesaliti marehem walio kufa ktk uwana harakati laity wangefufuka leo wangetembea taifa lote kuitukana chadema tena pasipo kutumia gari ila miguu.
usaliti ni dhambi mbaya kuliko zote chadema lazima iwe historia
Uliona wapi biashara ya daladala ikafa kwa kukosa abiria,akishuka mtu upanda mtu.Au timu ya mpira kufa kwa kuondokewa na wachezaji? Upinzani una hazina kubwa Sana ya underground wengi upcoming ambao ni vichwa maelfu kwa maelfu cheki mfano kina Abdul Nondo kwa uchache,anaedhani anaedhani atawamaliza kwa kuwanunua aandae tu bajeti atachoka mwenyeweKutimua wabunge ndio chama kufa? Chama bado kina uongozi wote wakitaifa na kanda hadi vitongoji sasa kimekufaje?
Kuna wakati walitumuliwa kina shonza kma 8 hivi mbona chama hakikufa ndio sembuse wabunge 4 tu?
Chama kinakufa kikikosa wanachama sio viongozi wanne
Vipi utabiri lini utatimia?Ndugu wa Tanzania, mim nilie kuwa mwanachama wa chadema tangu nikiwa chuo na mpaka pale chadema ilipo badilika kuwa chama cha wapiga deals. Nimeona nitabiri yakuwa chama hiki kimekosa dira na ushawishi kwa vijana na hata wazee bila kuwasahau wapenda mabadiliko wote wa taifa hili.
Nimtu mjinga au mwenye fikra finyu anaweza kufikiri na kusifia eti chama bora tanzania tena cha upinzani ni chadema. Mim nasema hakuna kitu kama hicho, labda niwakumbushe yakuwa Mh Lowasa alipo ingia chadema ali ingia kwa ajenda ya siri tena siri kubwa sana.
Mchezo wa siasa ni mchezo wa hatari na wana ccm wanaujuwa kuliko mtu awaye yeyote ktk vyama vya upinzani na ndio maana cc tulio bahatika kujuwa haya tunasema chadema inaenda kumeguka kama sii vipande vitatu basi viwili. Mfano mzuri ni team Lissu ndan ya hiki chama na team Mbowe.
Uzuri nikwamba mbowe ni kijana mdogo tangu darasani mpaka kwenye siasa hawezi kumfikia Lissu hata chembe, nguvu ya Mbowe ni uchama ulio jikita ktk pesa na famil histor. Hiki sio chama cha watu ni chama cha mtu ndani ya Watu, nahili nijambo la hatari limekuja kujulikana.
Mh Lowasa hana mapenz yoyote ya hiki chama ila nataka kuwahakikishia huyu mzee angetaman kuona hiki chama ambacho kilitumika kumchafuwa taifa lote siku moja kinakuwa either chama chake au anakigawa kuwa vipande wote wakose. Nahii ndio siri nzito inaendelea. Usione thread zimeandikwa eti ccm wamepagawa kwa uteuz wa Vicent kuwa katibu mkuu. Huo ni uongo mkubwa nikinyume chake maana ccm ni majemendari wasiasa na wanajuwa mahal pakushika kwa kila chama. Kwa kumalizia chadema lazima isambaratike bila shaka ktk wakat ambao mim na wewe hatuto amini.
Mara nyingi mimi sipendi ubishi ila napenda kusema kile kinaweza kutokea wakati wowote ule kuanzia sasa, hili taifa lina historia nzito amabayo mimi na wewe huwenda hatujawahi kuisikia ama kuiona ktk fikra zetu au macho yetu, ikumbukwe kuwa hakuba chama chochote duniani kisicho kuwa na dira ambayo inakiongoza chama hicho kufikia malengo. Watanzania wote walikipenda chadema kwa umahiri wake wakutumbua mafisadi na isitoshe umahiri na ugwaji mkono wa chama hiki ilikuwa kuzima mafisadi ambao walikuwa ndani ya ccm. Lakini ktk hali yakushituwa mara chadema akazima hija ya ufisadi nakuwapaka mafisadi mafuta ya marashi mazuri, ccm wakaisoma namba wakabadilika na sasa chadema anapumulia machine maana icu karibia machine zizimwe mzimaji anahesabu tu ikifika kumi atazima yule mgonjwa aliopo icu lazima atangazwe marehemu.
Dhambi zote waweza kusamehewa ila sio usaliti usaliti ni dhambi inayo angusha mataifa, vyama na watu, chadema imewasaliti wanjonge na wafuja jasho wa taifa hili,chadema imesaliti marehem walio kufa ktk uwana harakati laity wangefufuka leo wangetembea taifa lote kuitukana chadema tena pasipo kutumia gari ila miguu.
usaliti ni dhambi mbaya kuliko zote chadema lazima iwe historia
Anaewaza atauwa upinzani akapimwe akili atakufa yeye upinzani upo Hadi mwishoHATA VYAMA VYOTE VYA UPINZANI VIKIFA NCHINI,KUINGIA CCM NI BORA KUPIGWA RISASI NIFE KULIKO KUWA NDANI YA CHAMA KINACHOSABABISHA WATZ KUWA WAKIMBIZI NCHINI MWAO,REJEA LOLIONDO 2008 MIEZI YA JULY HADI SEPT HAPO.
VIKIFA VYOTE NITAANZISHA CHA KWANGU,HATA KAMA NITAKUWA MIMI MWENYEWE,MKE NA WATOTO WANGU KULIKO CCM.
Lete ushahidi, uongozi bado imara wameshindwa polisi, DPP, mahakama, msajili, manunuzi, wasiojulikana,chaguzi feki,hata nccr kama karantini ya ccm nao washashindwa.Maneno yametimia au hayajatimia?
Nilikuwa low profile member.Ulipoona ulishindwa vipi kutoa hoja zako kwenye uongozi wa chama?
Wewe unaweza kuwa ni miongoni mwa waliotumwa na ccm kuivuruga Chadema.
Najuwa mpaka 2020 Oct utanielewa.Lete ushahidi, uongozi bado imara wameshindwa polisi, DPP, mahakama, msajili, manunuzi, wasiojulikana,chaguzi feki,hata nccr kama karantini ya ccm nao washashindwa.