Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 28,749
- 91,827
Hii ramli uliosema nimepiga imetimia au haijatimia? Lowasa karud ccm na chama kimepotea sema kingine.... Manabii wapoKwa hiyo umekuwa Mpiga ramli, aisee na kweli hiyo kazi inakufaa sana
Mkuu uliona mbali yametimia uliyoandika exactly
Mkuu uliona mbali yametimia uliyoandika exactly
Mkuu uliona mbali yametimia uliyoandika exactly
Leo mm sio mwerevu leoUmechanganikiwa,
Ulipoona ulishindwa vipi kutoa hoja zako kwenye uongozi wa chama?Naona yasio onekana nakuyasema....
Sema wewe huna jipya siyo hatuna jipyaHonestly cdm yangu haiko kwasas.Kuna muda unataman kuona yanyoendlea kama ni uzushi lakin akil zinanigomea kabisaa.
Kwa % kubwa survival yetu kwasasa ni kwa neema ya mungu tu.
Kuna mahal time flan tukubal tu chama kilisahau wajibu wake.Haiwezekan kuwe na mapandikiz mengi namna hii ,intelijensia ya chama ilikua wap kuyabain haya mapema na kuyazuia ?..
Bavicha na siasa za vijana kwasasa chadema ni kama zimekufaaa.Angalia mtu kama Katambi hata kabla hajahama chama,was he the right person kuwa chair bvc?
Inasikitisha sana.
Tulihamisha interest toka kwenye lengo la msingi na kudakia petty issues na kuzifanya ndio ajenda.
Kubomoa ni kazi rahis sana lakin kujenga gharama yake wenyewe tutaishuhudia.
Kwa kifupi kwasas chadema sina nayemuona wa kuaminika.
Hata hawa waliobaki,unashindwa kujua ,je ni kwasababu muda wao wa kuondoka bado ?au kuna matumain bado wanayo kuhus chama chetu wanahis wataona mabadiliko ama lah nao wataondoka?
Kwa kifupi taharuki ni kubwa na kuirudisha chadema ilee itachukua miaka na lazima ikubal tu lazima chama kitakwenda BENCHI ili kujipanga upya.
Tukubali tu ukwel.
Tumekwisha.Hatuna jipya
Ahsante.Sema wewe huna jipya siyo hatuna jipya
Chama ili kisemwe kimepotea kinapimwa kwa nyanja zipi?Hii ramli uliosema nimepiga imetimia au haijatimia? Lowasa karud ccm na chama kimepotea sema kingine.... Manabii wapo
Alafu kaandika maneno meeengi yasiyo na kushoto wala katikatiSema wewe huna jipya siyo hatuna jipya
Unataka kusema CDM ndio walimlazimisha kutangaza corona?Huwezi kusema cdm imekufa kwa matukio ya kutengeneza, na siku zote chama ni wanachama, haya maneno kuwa cdm imekufa jaribu kwenda kumwambia jiwe uone kama haja kupiga risasi hapo hapo, unafikiri alipenda kutangaza kwamba corona ipo?
Bado unasubiri CHADEMA kisambaratike? Kamwulize mzee WassiraWatu walio ktk mapango huiona miisho ya nchi walipo ni kuta za mapango. Mimi nipo nje ya pango la chadema na uongo wake, namshukuru Mungu sikufukuzwa chuo wakati chadema wakitutumia kuleta machafuko vyuoni. Nimeujuwa ukweli nipo tayari kusimama kulitetea taifa langu nje ya chadema na sio mim tu, mtu kama tundu Lissu, mnyika, bulaya, mdee hivi sasa ni kama makopo ndani ya chama, watake wasitake wamezungukwa na nyoka mkali ambaye wao wamemchukua kuwa nyoka wa maonyesho ktk mikutano yao wakifikiri eti nyoka huyo hatoota meno awadhuru. Ila niaminin mimi huyo nyoka atakuwa na meno ucku mmoja nakuwagonga wote walio mtesa. Chadema niliza isambaratike au mbowe na Lowasa wakae pembeni. Take from me a man from another planet.