nata kusafirisha hoho

Tengeneza box LA mbao kama LA nyanaya au tenga zunguushia makaratasi magumu yaani mabox mpaka chini zipange kwa mapangilio mzuri sana yakisha jaa funika kwa hayo makaratasi funga tena na mbaojuu yake hapovzitafika salama zaidi
 
Siku hizi zile nyekundu na njano zimegundulika kuwa na virutubisho vingi zaidi ya hoho za kijani
Changamkia fursa japo bado mahitaji si makubwa sana lakini bei zake kubwa zaidi.
 
Back
Top Bottom