
*TATIZO LA UGUMBA*
Tatizo la ugumba linatibika nimeona ni bora nielezee hapa kwa faida ya wote huenda hata wewe au ndugu yako unasumbuliwa na tatizo hili, kwa kifupi tatizo hili ni kubwa sana kwa wanawake na wanaume takriban 30%_40%ya tatizo hili la Ugumba linawakumba wanaume na 40%_50% huwakumba wanawake wakati 10%-30% zilzobak ya tatizo hili husababishwa kwa pamoja na matatzo Kati ya mwanamme na mwanamke,

*UNAJUA MAANA YA UGUMBA??*

Ugumba ni Ile hali ya mwanamme /mwanamke kupoteza uwezo wa kutungisha au kubeba mimba

hii kwa mwanaume tunasema anashindwa kutungisha mimba ilhal anakutana kimwili na mkewe pasipo kutumia kizuizi na mkewe pia hatumii vizuizi vya mimba, Hali huwa hivi kwa upande wa mwanamke naye huwa anashindwa kubeba mimba ilhal hatumii dawa za Uzazi wa mpango ambapo pia anakutana na mumewe Bila Kinga ila anashindwa kupata ujauzito

katika familia 5 zinazofanya mapenzi katika wakati muafaka wa OVULATION wakiwa na malengo ya kupata mtoto ni familia moja tu ndiyo inafanikiwa kupata mtoto,

AINA ZA UGUMBA

PRIMARY INFERTILITY

Hii ni aina ya kwanza ya Ugumba ambayo yenyewe inawahusisha watu ambao hawakuwahi kubahatika kupata mtoto hata mmoja yan mwanaume anajitahid kutungisha mimba huku mwenza wake akiwa hatumii kizuizi mimba Lakin hafankiw na huku pia mwanamke anajitahid kubeba mimba ilhal hatumii dawa za Uzazi wa mpango Lakin hafankiw

SECONDARY INFERTILITY

Hii ni aina ya Ugumba ambayo hutokea baadae yani ni baada ya mwanamke/mwanamme kuzaa/kuzalisha Mara Moja maishani mwao na hawafanikiwi kupata mtoto mwingne

SABABU/VYANZO VYA UGUMBA

UTOAJI WA MIMBA

TATIZO LA HORMONE IMBALANCE (kutokuwa na uwiano mzuri wa homoni kwa mwanamke)

MATUMIZI YA DAWA/SINDANO ZA UZAZI WA MPANGO

KUUGUA UGONJWA WA FANGASI UKENI KWA MUDA MREFU (VAGINAL CANDIDIASIS)

KULEGEA KWA SHINGO YA KIZAZI

KUWA NA MSONGO WA MAWAZO

MATATIZO YA UZAZI OVARIES KUSHINDWA KUTOA MAYAI

KUZIBA KWA MIRIJA YA UZAZI

MATUMIZI YA POMBE/BANGI /SIGARA NI HATARI

KUTOKWA NA UCHAFU SEHEMU ZA SIRI WENYE HARUFU MBAYA

KUSUMBULIWA NA MAUMIVU YA TUMBO WAKATI WA HEDHI KWA MUDA MREFU

KUPATA MAUMIVU WAKATI WA TENDO LA NDOA NA KUWA NA MAUMIVU MAKALI CHINI YA KITOVU KWA MUDA MREFU

MWILI KUWA MNENE KUPITA KIAS

KUWA NA MAGONJWA YA ZINAA, KAMA KISONONO, PID, GONO NK

MWANAUME KUWA NA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

KUZIBA KWA MIRIJA YA KUPITISHIA MANII

KUWA NA MBEGU CHACHE (uchache wa shahawa)

DALILI ZA UGUMBA

kutokushika mimba katika siku za hatari

siku zako za hedhi kutokua katika mpangilio yani zinapishana na kubadilka tarehe kila wakati

kupata Maumivu makali chini ya tumbo Mara kwa Mara

mwili kuwa na manyoya kifuani au kuwa na ndevu nyingi

kushindwa kushiriki tendo la ndoa/kutokufurahia tendo la ndoa kwasababu unapata maumivu makali

kutokuwa na MSISIMKO

kupata Maumivu makali chini ya kitovu upande wa kulia au kushoto kwa ndani

kutokuwa na uwezo wa kufanya tendo la ndoa Zaidi ya Mara moja

uume kushindwa kusimama

kufika Kileleni mapema

kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa

*MATIBABU NA JINSI YA KUJIKINGA*

Matibabu ya Ugumba huhusisha wenzi wote wawili na yanahtaji uvumilvu na uelewa kwasababu yanaweza kuchukua muda mrefu kuona matokeo,

matibabu haya hufanyika kwa kuangalia majibu kutoka ktk vipimo mbalimbali

Ni vizuri mtu kujikinga na tatizo hili kutokana na athari zake kuwa kubwa,

*NJIA ZA KUJIKINGA NA TATIZO HILI*

kuondoa mawazo

kujikinga na magonjwa mbalmbal kama vile fangas, uti nk

acha kutumia dawa za Uzaz wa mpango

jitahd uwe unachuguza vizuri afya yako

mwanaume acha kutumia viagra na dawa za kemikal

jiepushe na kansa na kisukar

zingatia afya bora kwa kula mlo kamili

punguza mwili

acha kutumia dawa za kulevya na unywaji wa pombe
Kwa faida ya watu wengine share post hii kwa magroup mengine
Whats app / call
+255 655 821 550
Pia usikose kufuatilia mada zangu kuhusu matibabu yake. Au kama tayari umeathirika waweza kunitafuta ili nikupatie msaada piga
Sent using
Jamii Forums mobile app