Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 22,721
- 54,665
Waambie waache na uchoyoAcheni tamaa😂
Waambie waache na uchoyoAcheni tamaa😂
Hiyo haitoshi, nje pia mtupelekeTunawatunza kwa kuwapikia vinono mle mnawiri vema
Akinizingua namlaza kweny banda la mifugo hata usijali.Unatangaza vita ujue🤣🤣🤣Huyu niachie mwenyewe visa vyake huviwezi usije mtelekeza bureee
😂😂😂 Ana roho nyeupe hawezi kataaa.😀 😀 😀 ebu muulize kwanza, akikubali nakupatia; ingawa utakimbia huku ukiwa umeshika kufuli mkononi
Kijana wa kiume anaweka uzi kusaka dem wa kumtoa out.Wadada, hela zenu ngumu kweli za kwetu mnazitaka, ila za kwenu hamtaki kuzitoa, nyie kila wiki-end, mnawalazimisha waume zenu kuwatoa 'out' kwa gharama zao, huo si uungwana, bali ni unyonyaji.
Nipo hapa nasubiri mwanamke anitoe 'out'
Akihitaji huduma je?Akinizingua namlaza kweny banda la mifugo hata usijali.
😀😀😀utaleta mrejesho😂😂😂 Ana roho nyeupe hawezi kataaa.
Shida ipi hiyo?Kijana wa kiume anaweka uzi kusaka dem wa kumtoa out.
Naona watu wanakushangilia lakini behind this una shida mkuu
HuweziNi sawa na ngamia kupenya kwenye tundu la sindano
Ebu pata kahawa kwanza, uchangamshe mwiliHuwezi
Equation x acheni uchoyoWaambie waache na uchoyo
Kibarazani au nje uwani?Hiyo haitoshi, nje pia mtupeleke
Unataka kutolewa out au hautaki 🙄Haya mambo ya kufungiwa ndani na funguo kutupwa, hapana 😀 😀 😀
Soon😀😀😀utaleta mrejesho
Mnajua kujitetea sanaEquation x acheni uchoyo
Kwa mazingira hayo, jitoe tu mwenyewe 😀 😀 😀Unataka kutolewa out au hautaki 🙄
Na ndio kafa kaoza, hasikii la mwazini wala la mnadi swala😂Uliyenaye anapata tabu sana 😀 😀 😀
Itabidi tuje tumsaidieNa ndio kafa kaoza, hasikii la mwazini wala la mnadi swala😂