Nasubiri mwanamke anitoe 'out'

Nasubiri mwanamke anitoe 'out'

Yule aliyekubana kwa mapaja yake kipindi upo na mchepuko wako ili amkomeshe,,hadi ukahama na meza kabisa vipii kwani??amegoma kukutoa auti??
Wale ni wachunaji 😀 😀 😀
 
Kuna manzi alinipenda sana Kila wikiend alinitoa out za maana sana. Alikuwa n mfanyabiashara mdogo Miaka 24 tu mtoto mbichi.

Unaweza tu kuamka unakuta amekutumia laki mbili ukimuuliza ya nn anakuambia kanunue matunda ule.

Siku Moja nikambananisha nijue kwamba ananipa Kwa kuwa ananipe da au Kwa kuwa anazo kuliko Mimi?

Akaniambia Kuna aposto alimuambia biashara zake zinategemea nyota yangu hivyo afanye juu chini tusiachane.

Siku Moja nikambana sana kumbe sio aposto n mganga wa huku handeni basi nikatafuta njia ya kumuacha,nikamtengenezea fumanizi yaan nilimpanga rafiki yangu nikamwambia amuite sehemu wakae hapo ikibidi amdanganye nje SI pazuri waende lodge Kisha wakishaenda lodge anicheki mm nitakuja tu Nile zangu konyagi karibu na njia ya kwenda lodge jamaa akampanga manzi akamuambia wataingia lodge Kwa shart la kutofanya chochote.

Wakazama kweli nikapata sms maana ilikuwa tu jiran na Eneo la tukio nikakaa nje nikamtonya mwana kuwa Niko around tayari wakaongea huko mixer mapombe demu akaliwa(niliumia sana) basi wakaoga wakatoka wote wameshikana waliponiona wote wakajifanya wamehamak ila Dem kidogo azimie.

Mm nikatulia kimya yule manzi akasepa na mwamba, nikamalizia konyag yangu na embassy kadhaa demu akaja gheto analia sana nikamwambia it's over.
Ikawa mwisho wetu na mm ndio mishe zangu zikaaanza kunyooka yeye akashuka. Kumbe Kuna jinsi ilikuwa.

Alinitafuta sana sana turudiane nikamktaa kabisa akataka kunikabidhi hata ki IST chake kama sehem ya msamaha Nika mwambia sirudii matapishi

Sasa nasikia ameolewa huko Arusha ana bar kubwa sana hapo chuga ila sidhubutu hata kukanyaga hapo
Inasikitisha sana, alikugeuza kuwa chuma ulete?
 
Wadada, hela zenu ngumu kweli za kwetu mnazitaka, ila za kwenu hamtaki kuzitoa, nyie kila wiki-end, mnawalazimisha waume zenu kuwatoa 'out' kwa gharama zao, huo si uungwana, bali ni unyonyaji.

Nipo hapa nasubiri mwanamke anitoe 'out'
Me pia nasubir nitolewe out na mwanamke
Karibuni, njooni hapa Golden hotel floor ya pili namba 205....karibuni sana mle mnywe vitu vyangu
 
Wadada, hela zenu ngumu kweli za kwetu mnazitaka, ila za kwenu hamtaki kuzitoa, nyie kila wiki-end, mnawalazimisha waume zenu kuwatoa 'out' kwa gharama zao, huo si uungwana, bali ni unyonyaji.

Nipo hapa nasubiri mwanamke anitoe 'out'
Njoo nikutoe out ila sharti langu ni Moja tu Watusi mazulia wote Waite Malaya halafu ukimaliza Niko ready tunaenda njiro Kwa nyama choma
 
Ivi unawajua hawa viumbe vizur yaan mwanamke akitoa hela yake jua yupo kwenye mission na anauwakika itarudi tu tena kubwa zaidi ya iyo atayoitoa kwako
Uko sahihi
 
Back
Top Bottom