Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,214
- 50,188
One man downRejea no. 12
One man downRejea no. 12
Mwanamke yupi tena?? Mpya/wazamani au yoyote tu??🤣🤣🤣🤣🤣Wadada, hela zenu ngumu kweli za kwetu mnazitaka, ila za kwenu hamtaki kuzitoa, nyie kila wiki-end, mnawalazimisha waume zenu kuwatoa 'out' kwa gharama zao, huo si uungwana, bali ni unyonyaji.
Nipo hapa nasubiri mwanamke anitoe 'out'
Hii picha nime I zoom tuView attachment 2587924
Huyo pisi yupo tayari kukutoa out
Mim wangu nilimtoa last weekend.Wadada, hela zenu ngumu kweli za kwetu mnazitaka, ila za kwenu hamtaki kuzitoa, nyie kila wiki-end, mnawalazimisha waume zenu kuwatoa 'out' kwa gharama zao, huo si uungwana, bali ni unyonyaji.
Nipo hapa nasubiri mwanamke anitoe 'out'
Aaaaaah weeeehView attachment 2587924
Huyo pisi yupo tayari kukutoa out
Out me 😊One man down
Hadi wewe?😂Out me 😊
Subiri bwana wake amtumie hela ili akutoe outWadada, hela zenu ngumu kweli za kwetu mnazitaka, ila za kwenu hamtaki kuzitoa, nyie kila wiki-end, mnawalazimisha waume zenu kuwatoa 'out' kwa gharama zao, huo si uungwana, bali ni unyonyaji.
Nipo hapa nasubiri mwanamke anitoe 'out'
Kwani mimi nini 😅Hadi wewe?😂
Nyie si mnajifanyaga majentomenKwani mimi nini 😅
Sasa kama ni majentromeni magemu chenja tususie out zenyu?😅Nyie si mnajifanyaga majentomen
Kwanza nani kamwambia sisi tuna hela za kuwatoa out?Sasa kama ni majentromeni magemu chenja tususie out zenyu?😅
Makarismatiki felaz 😂
Mnatoa kwetu 😊Kwanza nani kamwambia sisi tuna hela za kuwatoa out?
Tunatoa wapi hela sisi jamani
Labda mtupe nyie ndio tuwatoe nazo outMnatoa kwetu 😊