Nasubiri Mdororo wa Local Government

Nasubiri Mdororo wa Local Government

Wewe BAVICHA kakojoe ulale usubiri kutenguliwa kiuno July 23...
Kwisha habari yako kwaakili kama hizo niwapuuzi wanaoshangaa kwanini Nchi yetu haiendi mbele kwa Akili kama uliyoonyesha hapo nawee umechaguliwa kuwa DAS au mkung'uta Mavumbi ya Lumumba...acheni ujinga wakuhamisha Magoli.. NCHI hii niyetu sote..mnapovurunda tunawaambia...Mleta ukurupukaji kwenye SUKARI mpaka leo mnaoana aibu mnazidi kuwaongezea uMASKINI hao mnaowavalisha KOFIA kisha wanawachagua
 
Nchi yenu na nani? Ukilema wa akili ni mbaya sana, wewe unafikiri kwa akili kama yako ya kulialia kila siku unarithisha nini uzao wako, we ngedere wa mbowe jifunze uchambuzi wa hoja na falsafa mbadala akilini mwako vinginevyo nyie mtaumia kwa manufaa ya mh. Aikael na familia yake, kila kitu mnakosoa tu hivi kusema ukweli kuna mtu mwenye ubavu na ujasiri ambaye angetenda anayodiriki kuyafanya rais magufuli?

Tatizo mbowe kawaaminisha kuwa hata mkikosa buku ya viroba Tatizo ni ccm, mshakunywa jasho la mwenyekiti wenu hamna utashi tena nyie ni nyumbu.
 
Kwisha habari yako mpangusa Vumbi wa Lumumba....kwa ujinga ulioandika hapa ndio uchambuzi ..na Falsafa.....naww ni think Tank eti....wee kwaakili yako unadhani sote tunaishi kwenye mifuko ya watu kama nyie mnaopelerusha Bendera nakujaa vumbi....Tambueni Nchi hii mnaivuruga kwa kuwatia watu umaskini...kama kwako una Tv angalia Mjadala ITV uone mnavyoendelea kuwabebesha mizigo watu....kubalini Nchi hii imewashinda
 
1468039027424.jpg
 
Nimepitia uteuzi wa wakurugenzi wa h/mashauri. Siamini naona kama naota kuona ukurugenzi unageuzwa kuwa cheo cha kisiasa!

Huyu JPM nayemwamini 100% anawezaje kumteua mtu haijui kabisa local government kuwa mkurugenzi.

Sifa za kuwa mkurugenzi zimeandikwa kwenye kitabu cha muundo wa utumishi. Kifupi JPM atakuja kuomba radhi watanzania kwa kosa hili. U-DC ni tofauti sana na ukurugenzi, ukurugenzi ni utaalamu na uzoefu wa kuongoza local govt. na sio siasa.

Hata kama kuna msukumo wa kisiasa, wapo makada wazuri sana wenye sifa za kuwa wakurugenzi tena wanao ijua local govt. vizuri sana.

Kusema haya sina maana napinga mabadiliko haya ya wakurugenzi, la, tena nayafurahia sana kwa sababu yametoa uozo mkubwa ndani ya local govt.

Wengi wa wakurugenzi waliokuwepo walikuwa wananunua ukurugenzi kama bidhaa na wengine walipewa kiushkaji, panga lilopita lilikuwa sahihi kwa wakati sahihi wa kuelekea Tanzania ya viwanda, lkn kwa uteuzi huu najiskia aibu kubwa sana.

Leo watu wananikejeli wananiambia angalia uteuzi wa mtu wako unaye mwamini mno!!!!=== Sina majibu nimepigwa na butwaa.

Nasubiri mdororo wa local government ambalo ni mdororo wa serikali.
Namaliza kwa kumwombea Rais wetu JPM aepushwe na pepo la kuunda "mtandao" na asimamie kile alichoamini.===akiisoma hii aseme- Amen

naomba hii kitabu cha muundo wa utumishi
 
Uchaguzi wa 2015 Ulielezwa ila wee na wenzio hamkutaka kusikia Upande mwingine so mnapokuja kulialia humu tunawadharau sababu mnajaza Saver za JF kwa mambo ya kijinga

Huwezi kuyaita mawazo ya mwenzio ya kijinga...you must have a problem ya uelewa...mawazo ya yule unayetofatiana naye huwezi kuyaita ya kijinga,...yachukue mawazo hayo uyafanyie kazi na kujibu kwa hoja ila usiyaite mawazohayo ya kijinga...Jambo jingine JF siyo mahali pa kulialia kama unavyosema wewe, hapa JF ni mahali pa kupeana ushauri, kutoa maoni na mawazo...JF na social media kwa ujumla ni sehemu nzuri kwa watu kubadilishana mawazo kuhusu jamii yao...ila wati kama nyie hamfahamu maana ya ya social media, mnadhani ni mahali pa kutukanana na kudhalilisha wengine...ni watu kama nyie ambao ni hatari kwa uhuru wa kutoa maoni tulio nao sasa kwani mkiendelea kuitumia JF kutukana wengine itafika mahali eneo hili muhimu katika uhuru wa kutoa maoni linaweza likafutwa....usilete humu hoja kuwa uliwaeleza watu wakati wa uchaguzi wa 2015 na ambao unadai hawakusikia...hoja gani uliileta humu?? Wakati wa uchaguzi kulikuwa na jambo moja kuchagua CCM au kuchagua upinzani....Wengi wakaona upinzani bado sana muda wake haujafika kwa hiyo CCM iendelee kuwa madarakani, na ndivyo ilivyokuwa....sasa haina maana kuwa kama wako walioiunga mkono CCM wakati wa uchaguzi sasa wasitoe maoni, au kushaurikuhusu utendaji wa serikali ya CCM...Ni muhimu wewe na wenzako mtofautishe kati ya kushutumu na kushauri...
 
Mimi ninao uahahidi wa aliyeteuliwa kuwa DED wa uvinza ,alikuwa mqalimu pale DIT Dar akalloby akawa afisa boharia wa chuo akaingia tenda ya kulega majiko ya kupikia a geai kutoka kenya ,yakapokelewa kuwa yanakidhi viwango.akapewa chake baada ya siku mbili waliohusika hqkuwapa chao wakalalamika,wakajenga hila kuwa hayakidhi kiwango.
Mzabuni ikawa asilipwe na aachukue.soo likawaka ikabidi akimbilie UDOM.Mara leo kateuliwa DED kama uboharia ulimahinda akiimbia kesi ya usuluhishi uded atauweza ?
Ni lini alipata uzoefu wa kuwa ded? Jamani mbona haieleweki

Hata mimi nawafahamu baadhi ambao ni 'wapigaji' na wapika majungu ambao wameteuliwa katika nyadhifa mbalimbali ...nawafahamu kuwa ni watu wa lobbying, wanaojisikia na waongo na wabinafsi...Ndiyo maana baadhi tunasema kuwa JPM ni lazima asaidiwe mno...JPM hamfahamu kila mtu na inawezekana katika watu hao walioteuliwa ambao yeye anawafahamu pengine hata 10 hawafiki...majina hayo ya teuzi mbalimbali hupendekezwa na baadhi ya watu na hapo ndipo lilipo tatizo....ni hatari sana....
 
Nimepitia uteuzi wa wakurugenzi wa h/mashauri. Siamini naona kama naota kuona ukurugenzi unageuzwa kuwa cheo cha kisiasa!

Huyu JPM nayemwamini 100% anawezaje kumteua mtu haijui kabisa local government kuwa mkurugenzi.

Sifa za kuwa mkurugenzi zimeandikwa kwenye kitabu cha muundo wa utumishi. Kifupi JPM atakuja kuomba radhi watanzania kwa kosa hili. U-DC ni tofauti sana na ukurugenzi, ukurugenzi ni utaalamu na uzoefu wa kuongoza local govt. na sio siasa.

Hata kama kuna msukumo wa kisiasa, wapo makada wazuri sana wenye sifa za kuwa wakurugenzi tena wanao ijua local govt. vizuri sana.

Kusema haya sina maana napinga mabadiliko haya ya wakurugenzi, la, tena nayafurahia sana kwa sababu yametoa uozo mkubwa ndani ya local govt.

Wengi wa wakurugenzi waliokuwepo walikuwa wananunua ukurugenzi kama bidhaa na wengine walipewa kiushkaji, panga lilopita lilikuwa sahihi kwa wakati sahihi wa kuelekea Tanzania ya viwanda, lkn kwa uteuzi huu najiskia aibu kubwa sana.

Leo watu wananikejeli wananiambia angalia uteuzi wa mtu wako unaye mwamini mno!!!!=== Sina majibu nimepigwa na butwaa.

Nasubiri mdororo wa local government ambalo ni mdororo wa serikali.
Namaliza kwa kumwombea Rais wetu JPM aepushwe na pepo la kuunda "mtandao" na asimamie kile alichoamini.===akiisoma hii aseme- Amen
Jelly fish uwe na imani. Naamini serikali ina Nia ya dhati kuinua maisha ya watu wa Chini na katika teuzi hizi inawezekana Kuna mapungufu. Ni jukumu letu sisi wadau kukemea na kushauri serikali kabla mambo hayajaharibika.
Tukiona mkurugenzi haendi na taaruma mapema tu blow whistle.

Kumbuka Mheshimiwa anaunda serikali kwa Mara ya kwanza naamini mapungufu ni lazima.
Pia ni jukumu la wasaidizi wake kubaini mapungu ya teuzi na kumshauri, wakilemba aanze nao kwani suala la kushauri ni jukumu lao la msingi.
Haiwezekani mkurugenzi ha perform halafu waziri unakaa kimya kisa kateuliwa na Rais.
Rejea uteuzi wa Ana Kilango na kutenguliwa kwake. Wateuliwa wakae chonjo kwani hakuna atakae pewa nafasi ya Muda mrefu kuharibu.
 
Nimelipenda andiko lako...Baadhi yetu tunaompenda JPM tumepigwa na butwaa kuhusu teuzi hizi hasa za ma-DAS na Wakurugenzi wa halmashauri...professionalism inaachwa na kigezo kinachoangaliwa ni ukada na lobbying pamoja na kujipendekeza...ni kweli kabisa mabadiliko kiutendaji ndani ya LGs na hata central government yanahitajika lakini siyo kwa uteuzi wa aina hii uliofanyika...Mimi binafsi naona kuna watu wanamhujumu JPM...Tusubiri tuone, ubashri wangu ni kuwa kutakuwa na kilio kikubwa kiutendaji katika halmashauri nyingi kuliko awali...
Bila Soni unawafahamu waliteuliwa wasio na sifa pia ukijua viwango vyao vya Elimu.
Weka wazi majina Yao ukianisha nafasi zao za uteuzi na viwango vyao vya Elimu kwani itamsaidia Mkuu Rais kubaini mahali alipoingizwa mkenge na iwe haraka kwa yeye kufanya madiliko.

Jamii forum ni jukwaa huru, ukweli tunaupokea pasi shaka na kutoa maoni yetu pasi matusi wala dhihaka.
Kumbuka ukweli utakuweka huru. Wanange tuwajue. Na hii itaondoa manung'uniko.
 
Uli ujue lazima uanze. Huwezi tembea kilomita mbili bila kuanza na hatua moja.
Hata mbuyu umeanza kama mchicha.
kuna mambo hutakiwi kuyaendea kijinga na ndio maana wenzetu walio endelea mambo hayo yamelindwa kwenye KATIBA zao.Huwezi leo hii kuteua kijana alie hitimu chuo kikuu leo akawa MKURUGENZI MTENDAJI! Au huwezi kumteua kijana aliye hitimu chuo kikuu miaka miwili iliyo pita awe MKAGUZI MKUU WA ELIMU! Hao vijana mpaka wanaanza kujua namna ya kusimamia Halmashauri itakuwa miaka mitano imekwisha! ndio atajua kuwa kuongoza Nchi siyo mchezo.Nadhani baada ya muda siyo mrefu mezani kwake kutajaa barua zinazo lalamika kuwa huyu siyo mwenzetu aondoke!! kwasababu ukiwa inferior kila anae kuja njia mbadala utamuona siyo mwenzenu! kudorora ni uhakika 100%
 
Sina uhakika kama walio teuliwa ni unqualified since sijapata cv zao ama kujua uzoefu wao

Ila kwa Uteuzi huu ama teuzi zinazo endelea wengi hamjaelewa manager wetu mkuu anataka nini!!!

Hii ni unique system of administration ambayo kama iki fanikiwa inafanikiwa kweli na kama iki feli ina feli kweli!!!

Anachokifanya ni kuteua watu ambao wana mashaka!! Since hawana vigezo(not shure) ili iwe rahisi kuwa comand kutokana na fear!!!

So!! Hawa ni waoga na hawawezi kuunda mtandao wa rushwa (in his believe) since ni wa oga!!! Kama akiteua lot of qualified ni wajanja wana confidence na kwa neture ya watanzania wasomi na watu qualified ndio wezi!!!

Anahitaji akikuteua ugope!! Anahitaji watu watakao implement direct kile anacho kitamka bila kuhoji!!!

ataki mtu wa kumletea chalenges kukosoa ama kumodify kile alicho kiwaza!!! Ama kutaka kifanyike!!!

Thats why anachukua lot of unqualified staff that will follow his demands!!! Akiwa na imani it will pay off!! Sijui nimeeleweka????
Umeeleweka sana madam. Nimp WK end hii update ofa
 
Back
Top Bottom