Nimepitia uteuzi wa wakurugenzi wa h/mashauri. Siamini naona kama naota kuona ukurugenzi unageuzwa kuwa cheo cha kisiasa!
Huyu JPM nayemwamini 100% anawezaje kumteua mtu haijui kabisa local government kuwa mkurugenzi.
Sifa za kuwa mkurugenzi zimeandikwa kwenye kitabu cha muundo wa utumishi. Kifupi JPM atakuja kuomba radhi watanzania kwa kosa hili. U-DC ni tofauti sana na ukurugenzi, ukurugenzi ni utaalamu na uzoefu wa kuongoza local govt. na sio siasa.
Hata kama kuna msukumo wa kisiasa, wapo makada wazuri sana wenye sifa za kuwa wakurugenzi tena wanao ijua local govt. vizuri sana.
Kusema haya sina maana napinga mabadiliko haya ya wakurugenzi, la, tena nayafurahia sana kwa sababu yametoa uozo mkubwa ndani ya local govt.
Wengi wa wakurugenzi waliokuwepo walikuwa wananunua ukurugenzi kama bidhaa na wengine walipewa kiushkaji, panga lilopita lilikuwa sahihi kwa wakati sahihi wa kuelekea Tanzania ya viwanda, lkn kwa uteuzi huu najiskia aibu kubwa sana.
Leo watu wananikejeli wananiambia angalia uteuzi wa mtu wako unaye mwamini mno!!!!=== Sina majibu nimepigwa na butwaa.
Nasubiri mdororo wa local government ambalo ni mdororo wa serikali.
Namaliza kwa kumwombea Rais wetu JPM aepushwe na pepo la kuunda "mtandao" na asimamie kile alichoamini.===akiisoma hii aseme- Amen