Nasubiri Mdororo wa Local Government

Nasubiri Mdororo wa Local Government

Nimelipenda andiko lako...Baadhi yetu tunaompenda JPM tumepigwa na butwaa kuhusu teuzi hizi hasa za ma-DAS na Wakurugenzi wa halmashauri...professionalism inaachwa na kigezo kinachoangaliwa ni ukada na lobbying pamoja na kujipendekeza...ni kweli kabisa mabadiliko kiutendaji ndani ya LGs na hata central government yanahitajika lakini siyo kwa uteuzi wa aina hii uliofanyika...Mimi binafsi naona kuna watu wanamhujumu JPM...Tusubiri tuone, ubashri wangu ni kuwa kutakuwa na kilio kikubwa kiutendaji katika halmashauri nyingi kuliko awali...
Tatizo hamtaki kufikiri NJE ya CCM ambae ndio ADUI namba 1 wa TAIFA hili
 
Kama kuna mtu bado ana imani na ccm, asitarajie jipya. Hii nchi itapiga hatua za haraka kimaenedeleo pale tu ccm itakapotoka madarakani, zaidi ya hapo tutaendelea kushuhudia mazingalaombwe tu.
Inawezekana, EL alisema nyumba za nyasi zingeondoka ndani ya siku 100.
Hayo ndo maendeleo tunayoyataka
 
Mimi nipo ndani ya LGA, ninachojua kwa mtu mgeni kabisa wa LGA kazi anaweza kuiona ngumu kuliko.
Mazingira ya kazi za LGA ni tofauti kwa mbali sana na kazi ya DAS au DC.
 
Sijajua nino lengo la JPM. Lakini naona uteuzi wa DEd hajatutendea haki wananchi. Katika taratibu na kanuni za utumishi wa umma nafasi ya ded ni ya kitendaji na anapewa miongoni mwa principal officers. Tena ina vigezo zaidi kama vile elimu, uzoefu na nk. Sasa JPM ameteua watu ambao hata vigezo hawana. Ameangalia nani alimsaidia ktk kampeni na kumpa uded.
 
Tatizo hamtaki kufikiri NJE ya CCM ambae ndio ADUI namba 1 wa TAIFA hili

CCM haiwezi kuwa adui wa taifa hili...labda wewe na wenzako ndio adui wa taifa hili...Sijui unamanisha nini kusema kuwa hatutaki kufikiri NJE ya CCM...Na wala nyie hamjaeleza mnafikiri NDANI ya nini...
 
Tatizo watanzania tu naamini rais ni Mungu,Rais asingetaka mtandao either wa mtu binafsi au chama kwa nini asingeamuru au kubadirisha sheria ili nafasi zote za DED na DAS zitangazwe na kila mtu including asiye m wanaccm kuwa na nafasi ya kuzipata.Mnamsifu kuwa na nia nzuri huku wengine tukiona nia nzuri ya kutengeneza mtandoa wa ccm kuliko ustawi wa nchi yetu.
Ndio sasa ni meelewa vizuri zaidi pale Rais JPM anapo sema "hapa ndipo Tanzania ilipokuwa imefikia." Kile kinachoitwa wanamtandao ndio madhara yake tunayaona sasa. Ni vema moja ya vipaumbele vya Rais ikawa ni pamoja na kudhibiti uwezekano wa kutokea mtu au kikundi cha watu kutengeneza mitandao katika kutafuta uongozi wa juu wa taifa hili.
 
Hilo liko wazi. Lakini hatuna altenative maana cdm na ccm wanafanana kama mapacha. Tunabako kuamini mtu si chama
Tatizo lenu hamtaki kuamini kuwa ADUI wa TAIFA hili ni CCM mkiambiwa chagueni kitu kingine mnaishia kutaja majina ya watu...so..TULIENI...siku mkija kuamini kwamba CCM ndio inaharibu hii NCH hata akigombea MALAIKA kwenye hiyo hamtamchagua....!! Endeleeni kusubiri Tanzania ya Viwanda...
!!
T
 
Uli ujue lazima uanze. Huwezi tembea kilomita mbili bila kuanza na hatua moja.
Hata mbuyu umeanza kama mchicha.
Tanzania ilipata Uhuru 5.11.2015 hivyo mmeshimiwa haoni wasomi wazalendo na wazoefu,anaona makada wa ccm,akina madabida ndo siyo wezi ,hawapendi ujambazi na niwazalendo.
 
Subira yavuta kheri. Nawachungulia nione mbivu na mbichi
 
Nimelipenda andiko lako...Baadhi yetu tunaompenda JPM tumepigwa na butwaa kuhusu teuzi hizi hasa za ma-DAS na Wakurugenzi wa halmashauri...professionalism inaachwa na kigezo kinachoangaliwa ni ukada na lobbying pamoja na kujipendekeza...ni kweli kabisa mabadiliko kiutendaji ndani ya LGs na hata central government yanahitajika lakini siyo kwa uteuzi wa aina hii uliofanyika...Mimi binafsi naona kuna watu wanamhujumu JPM...Tusubiri tuone, ubashri wangu ni kuwa kutakuwa na kilio kikubwa kiutendaji katika halmashauri nyingi kuliko awali...
CCM haiwezi kuwa adui wa taifa hili...labda wewe na wenzako ndio adui wa taifa hili...Sijui unamanisha nini kusema kuwa hatutaki kufikiri NJE ya CCM...Na wala nyie hamjaeleza mnafikiri NDANI ya nini...
CCM haiwezi kuwa adui wa taifa hili...labda wewe na wenzako ndio adui wa taifa hili...Sijui unamanisha nini kusema kuwa hatutaki kufikiri NJE ya CCM...Na wala nyie hamjaeleza mnafikiri NDANI ya nini...
 
CCM haiwezi kuwa adui wa taifa hili...labda wewe na wenzako ndio adui wa taifa hili...Sijui unamanisha nini kusema kuwa hatutaki kufikiri NJE ya CCM...Na wala nyie hamjaeleza mnafikiri NDANI ya nini...
Siku ukifika kaburini naamini utaelewa ukweli uliousema huyo jamaa wa namna ccm ilivyoadui namba moja wa nchi yetu na watanzania kuliko shetani
 
Ndicho vijana wanapolalamikia ya kwamba wamemaliza vyuo wakitafuta kazi wanaambiwa wawe na experiense, je wangeipata wapi wakati wanatoka chuoni. Conc acid huna reference please think deep. Achana na politics.
 
Nimelipenda andiko lako...Baadhi yetu tunaompenda JPM tumepigwa na butwaa kuhusu teuzi hizi hasa za ma-DAS na Wakurugenzi wa halmashauri...professionalism inaachwa na kigezo kinachoangaliwa ni ukada na lobbying pamoja na kujipendekeza...ni kweli kabisa mabadiliko kiutendaji ndani ya LGs na hata central government yanahitajika lakini siyo kwa uteuzi wa aina hii uliofanyika...Mimi binafsi naona kuna watu wanamhujumu JPM...Tusubiri tuone, ubashri wangu ni kuwa kutakuwa na kilio kikubwa kiutendaji katika halmashauri nyingi kuliko awali...

Mimi ninao uahahidi wa aliyeteuliwa kuwa DED wa uvinza ,alikuwa mqalimu pale DIT Dar akalloby akawa afisa boharia wa chuo akaingia tenda ya kulega majiko ya kupikia a geai kutoka kenya ,yakapokelewa kuwa yanakidhi viwango.akapewa chake baada ya siku mbili waliohusika hqkuwapa chao wakalalamika,wakajenga hila kuwa hayakidhi kiwango.
Mzabuni ikawa asilipwe na aachukue.soo likawaka ikabidi akimbilie UDOM.Mara leo kateuliwa DED kama uboharia ulimahinda akiimbia kesi ya usuluhishi uded atauweza ?
Ni lini alipata uzoefu wa kuwa ded? Jamani mbona haieleweki
 
Kama kuna mtu bado ana imani na ccm, asitarajie jipya. Hii nchi itapiga hatua za haraka kimaenedeleo pale tu ccm itakapotoka madarakani, zaidi ya hapo tutaendelea kushuhudia mazingalaombwe tu.
hupo wap ndug yang nikupe hata moja moto moja barid.. hv ni tanzania ya viwanda au ya vibanda??
 
Ungeweka idadi ya makada wa CCM waliochaguliwa ingependeza sana
 
Nimelipenda andiko lako...Baadhi yetu tunaompenda JPM tumepigwa na butwaa kuhusu teuzi hizi hasa za ma-DAS na Wakurugenzi wa halmashauri...professionalism inaachwa na kigezo kinachoangaliwa ni ukada na lobbying pamoja na kujipendekeza...ni kweli kabisa mabadiliko kiutendaji ndani ya LGs na hata central government yanahitajika lakini siyo kwa uteuzi wa aina hii uliofanyika...Mimi binafsi naona kuna watu wanamhujumu JPM...Tusubiri tuone, ubashri wangu ni kuwa kutakuwa na kilio kikubwa kiutendaji katika halmashauri nyingi kuliko awali...
Well said mkuu,
Ila sidhani kama anahujumiwa, nawasiwasi na kina Lubuvaaa walimwambia ukweli
sasa anajipanga for 2020 badala ya kufocus na namna tutakavyopata maendeleo.
Nimesikitishwa sana na hizi teuziiiii
 
Nimepitia uteuzi wa wakurugenzi wa h/mashauri. Siamini naona kama naota kuona ukurugenzi unageuzwa kuwa cheo cha kisiasa! Huyu JPM nayemwamini 100% anawezaje kumteua mtu haijui kabisa local government kuwa mkurugenzi. Sifa za kuwa mkurugenzi zimeandikwa kwenye kitabu cha muundo wa utumishi. Kifupi JPM atakuja kuomba radhi watanzania kwa kosa hili. U-DC ni tofauti sana na ukurugenzi, ukurugenzi ni utaalamu na uzoefu wa kuongoza local govt. na sio siasa. Hata kama kuna msukumo wa kisiasa, wapo makada wazuri sana wenye sifa za kuwa wakurugenzi tena wanao ijua local govt. vizuri sana. Kusema haya sina maana napinga mabadiliko haya ya wakurugenzi, la, tena nayafurahia sana kwa sababu yametoa uozo mkubwa ndani ya local govt. Wengi wa wakurugenzi waliokuwepo walikuwa wananunua ukurugenzi kama bidhaa na wengine walipewa kiushkaji, panga lilopita lilikuwa sahihi kwa wakati sahihi wa kuelekea Tanzania ya viwanda, lkn kwa uteuzi huu najiskia aibu kubwa sana. Leo watu wananikejeli wananiambia angalia uteuzi wa mtu wako unaye mwamini mno!!!!=== Sina majibu nimepigwa na butwaa. Nasubiri mdororo wa local government ambalo ni mdororo wa serikali.
Namaliza kwa kumwombea Rais wetu JPM aepushwe na pepo la kuunda "mtandao" na asimamie kile alichoamini.===akiisoma hii aseme- Amen
unafurahia kuondoa uozo na kuweka uozo - kwa mujibu wako!
 
Back
Top Bottom