Nasubiri Mdororo wa Local Government

Nasubiri Mdororo wa Local Government

CCM haiwezi kuwa adui wa taifa hili...labda wewe na wenzako ndio adui wa taifa hili...Sijui unamanisha nini kusema kuwa hatutaki kufikiri NJE ya CCM...Na wala nyie hamjaeleza mnafikiri NDANI ya nini...
Uchaguzi wa 2015 Ulielezwa ila wee na wenzio hamkutaka kusikia Upande mwingine so mnapokuja kulialia humu tunawadharau sababu mnajaza Saver za JF kwa mambo ya kijinga
 
Ni wengi tulioshsngazwa ukurugenzi siyo kazi ya kutoa magizo ni kazi ya utendsji hakuna siasa pale kosa moja goli
 
Kama kuna mtu bado ana imani na ccm, asitarajie jipya. Hii nchi itapiga hatua za haraka kimaenedeleo pale tu ccm itakapotoka madarakani, zaidi ya hapo tutaendelea kushuhudia mazingalaombwe tu.
Are you sure? Nani atakuwa mbadala wa jpm
 
Kama kuna mtu bado ana imani na ccm, asitarajie jipya. Hii nchi itapiga hatua za haraka kimaenedeleo pale tu ccm itakapotoka madarakani, zaidi ya hapo tutaendelea kushuhudia mazingalaombwe tu.
umenena vema mkuu bt subili wafunguliwe toka lumumba na buku 7
 
Unategemea nini cha ziada kutoka kwa mtu aliedai Saddam Hussein ni raisi wa Kuwait!
 
Sijui kwa nini mheshimiwa ameamua kukiuka taratibu za utumishi wa umma. Badala ya kupromote watumishi wenye wekedi huko halmashauri kaamua kuweka makada waliomsapoti wakati wa kampeni ambao hata hawajawahi kufanya kazi halmashauri! Nafasi za kiutendaji zinazohitaji weledi katika fani husika yeye kazifanya nafasi za kisiasa! Nilidhani huu utaratibu wa kulipana fadhila uliondoka na awamu ya nne! Kumbe ni walewale!
 
Ni mjinga tu anayeweza kudhania mwanadamu mwenzake ni Mungu. Naomba nifahamishe serikali hii inayo tuongoza sasa ni ya chama gani?

Kelele zote hizi niza kimaslahi zaidi na wale wanaona utamaduni umebadilika ghafla hawa kujiandaa..

Tatizo watanzania tu naamini rais ni Mungu,Rais asingetaka mtandao either wa mtu binafsi au chama kwa nini asingeamuru au kubadirisha sheria ili nafasi zote za DED na DAS zitangazwe na kila mtu including asiye m wanaccm kuwa na nafasi ya kuzipata.Mnamsifu kuwa na nia nzuri huku wengine tukiona nia nzuri ya kutengeneza mtandoa wa ccm kuliko ustawi wa nchi yetu.
 
nina uhakika huu uteuzi umevunja vifungu vingi sana vya katiba....

Ungekuja na vifungu vilivofunjwa lingekuwa jambo la maana, kudhania tu hakuna mashiko. Ndio tatizo la walalamikaji wengi hapa. Wanadhania Rais na wasaidizi wake wangefanya hivi au vile, haisaidii lolote uteuzi ndio ushafanyika.
 
Tatizo lenu hamtaki kuamini kuwa ADUI wa TAIFA hili ni CCM mkiambiwa chagueni kitu kingine mnaishia kutaja majina ya watu...so..TULIENI...siku mkija kuamini kwamba CCM ndio inaharibu hii NCH hata akigombea MALAIKA kwenye hiyo hamtamchagua....!! Endeleeni kusubiri Tanzania ya Viwanda...
!!
Wewe fuko wa wapi? Instead of ccm do you think there is any political party that can stabilize Tanzania?
Wivu na kulalamika bila sababu za maana mmezidi, mfano hapo wewe na mleta maada kipi mmeona rais na uteuzi wake amefeli? Acheni mawazo hasi jengeni imani na kiongozi wa taifa lenu sio lawama kila kitu.
 
Hivi why Tanzania imekuwa nchi ya kulalamika tu??
huku sio kulalamika mkuu, ni kuhoji mambo na hii haki ya kila mtu huru. ni bora hii kuliko kusema ndio kila kitu. akitoa mtu hoja inafaa ipinngwe kwa uchambuzi wa hizo hoja zilizotolewa na kuonyesha mbadala wake.
 
Wewe fuko wa wapi? Instead of ccm do you think there is any political party that can stabilize Tanzania?
Wivu na kulalamika bila sababu za maana mmezidi, mfano hapo wewe na mleta maada kipi mmeona rais na uteuzi wake amefeli? Acheni mawazo hasi jengeni imani na kiongozi wa taifa lenu sio lawama kila kitu.
it can be true that there is no another political party to stand in place of ccm but this is not a justification that ccm is not wrong!
kama CCM ina tatizo watu wanaoona hilo wanaweza kusema bora iondoke hata kama hakuna chama mbadala. Moja, inaweza kujinyumbua na kuzaliwa upya (kujivua gamba) au, ibomoke kizaliwe chama kingine hata kama kitazaliwa kutoka ccm yenyewe kwa kundi kujiondoa.
Ni Dhahir CCM imekuwa tatizo kwa muda mrefu na ndio maana mkuu hasemi serikali ya ccm. mimi naamini kuwa atakapochaguliwa mwenyekiti wake atasema Serikali ya CCM na si ya magufuli tena. Shika maneno yangu uje uniulize!
 
Wewe fuko wa wapi? Instead of ccm do you think there is any political party that can stabilize Tanzania?
Wivu na kulalamika bila sababu za maana mmezidi, mfano hapo wewe na mleta maada kipi mmeona rais na uteuzi wake amefeli? Acheni mawazo hasi jengeni imani na kiongozi wa taifa lenu sio lawama kila kitu.
Nahisi wee ni mmoja wa wateule anaowalalamikia mleta mada!
 
magufuli endelea hvyo hvyo tuteulie hata darasa la 7 mpaka watu wapate akili
 
Sina uhakika kama walio teuliwa ni unqualified since sijapata cv zao ama kujua uzoefu wao

Ila kwa Uteuzi huu ama teuzi zinazo endelea wengi hamjaelewa manager wetu mkuu anataka nini!!!

Hii ni unique system of administration ambayo kama iki fanikiwa inafanikiwa kweli na kama iki feli ina feli kweli!!!

Anachokifanya ni kuteua watu ambao wana mashaka!! Since hawana vigezo(not shure) ili iwe rahisi kuwa comand kutokana na fear!!!

So!! Hawa ni waoga na hawawezi kuunda mtandao wa rushwa (in his believe) since ni wa oga!!! Kama akiteua lot of qualified ni wajanja wana confidence na kwa neture ya watanzania wasomi na watu qualified ndio wezi!!!

Anahitaji akikuteua ugope!! Anahitaji watu watakao implement direct kile anacho kitamka bila kuhoji!!!

ataki mtu wa kumletea chalenges kukosoa ama kumodify kile alicho kiwaza!!! Ama kutaka kifanyike!!!

Thats why anachukua lot of unqualified staff that will follow his demands!!! Akiwa na imani it will pay off!! Sijui nimeeleweka????

Hujaeleweka best, umechapia sana.
 
Umeeleweka vizuri sana kama manager wa hotel anaweza DED si ajabu hajawawahi hata kuajiliwa serikali na anaenda kukutana na watu wenye master zao sijui kama wakiwa kwenye kikao itakuwaje nadhani tuache ushabiki hapa kuna tatizo tena kubwa
 
Back
Top Bottom