Nastahili tuzo kwa jinsi ninavyowakwepa wanafunzi wa kike

Mkuu mimi nilikuwa mwalimu shule flani town kuna kadenti kamoja kazuri balaa kwa kweli nilikapenda lakini kumoyo tu maana maadili yalinikataza siku moja from no where wakati nasahihisha madaftari kwenye daftari lake aliandika kwa hati kubwa teacher A I love you soo much nilivyomwita na kumuuliza alikiri bila ya soni kuwa ni kweli ananipenda tena sana, baada ya wiki niliacha kazi

hahahahahahaaaaaaa..!! Dah..
 
Bado una uwoga wa kutafuna papuchi ukikuisha utazitafuta hata za wale wa chekechea
 
Kamwaka kamoja tu unajipa hongera, mimi nina miaka mi5 shule ya wasichana watupu, unaijuia shughuli yao wakipandwa na nyege? mwaka mmoja ni mchache sana kujipa pongezi tena shule ya kata watoto hata kuoga hawajui, yaonesha u dhaifu sana hadi unajishangaa mwenyewe kwa uvumilivu mdogo.
 
  • Thanks
Reactions: cmp
dah walimu mnaraha sana, ila hao mabinti wanasaidia kusahaulisha malimbikizo ya madai yenu sirikalini!

Nakumbuka nishawahi kufundisha tempo miaka ya nyuma,kilichokua kinafanyika pale ni aibu, walimu wanaita teaching incentives,kwamba ndio marupurupu yao maana hawana na wanalipwa mishahara midogo kwa hiyo wanafidia.

Hawa walimu vijana ni shida kwa kweli,wanagawana madarasa.
 
Hahahahaha laiti wazazi wangeona binti zao wanavyotafunwa na walimu cjui wangekubali kulipa ada au wangechukua hatua gani.

Mtoa mada mbona huna hata kakielelezo ka kibarua cha mahaba kwny post yako?
Jaribu kuambatanisha kama NECTA walivyotuambatanishia "ZOMBI KASAHAU KUVAA VIATU"
 
Mimi ni mwalimu nimeajiriwa na nina mwaka mmoja kazini, nilipangiwa shule moja kijijini yenye wanafunzi mchanganyiko wa kike na wakiume.

Kiukweli ualimu usipokua makini kufungwa ni nje nje hasa kwenye suala la mahusiano na wanafunzi wa kike, nilipata sijui niite bahati au mkosi wa kupendwa na wanafunzi wa kike na nilihisi ni kutokana na mwonekano wangu mdogo.

Ssikukubali kujidhalilisha kwa kutembea na mwanafunzi yeyote hadi leo niliwakwepa na kuwachapa viboko vya nguvu, inafikia wakati unatoa zoezi unakuta vikaratasi vya mahaba naishia kuvichana na kuwaadhibu wahusika, japo najua wapo walimu wasio na maadili wanaowatumia wanafunzi ila mimi nimekataa na nastahili kabisa kupewa tuzo au pongezi kwa hili.

Kusudi la kuleta mada hii humu ni kuwaasa ndugu zangu walimu na watu wazima wengine tusijaribu kuwalaghai wanafunzi wa shule kwakua uelewa wao ni mdogo.

Ahsanteni!

Kama unachokisema ndicho unachokitenda na kukiishi basi nakupa Hongera sana kwa maadili uliyonayo ambayo walimu wengi hawana. Nawapongeza sana waliokulea na kukukuza ktk misingi na maadali hayo.
 
Hahahahaha laiti wazazi wangeona binti zao wanavyotafunwa na walimu cjui wangekubali kulipa ada au wangechukua hatua gani.

Mtoa mada mbona huna hata kakielelezo ka kibarua cha mahaba kwny post yako?
Jaribu kuambatanisha kama NECTA walivyotuambatanishia "ZOMBI KASAHAU KUVAA VIATU"

Kama wewe sio mzazi kwa sasa, basi Siku moja na wewe utakuwa mzazi.
 
Mimi ni mwalimu nimeajiriwa na nina mwaka mmoja kazini, nilipangiwa shule moja kijijini yenye wanafunzi mchanganyiko wa kike na wakiume.

Kiukweli ualimu usipokua makini kufungwa ni nje nje hasa kwenye suala la mahusiano na wanafunzi wa kike, nilipata sijui niite bahati au mkosi wa kupendwa na wanafunzi wa kike na nilihisi ni kutokana na mwonekano wangu mdogo.

Ssikukubali kujidhalilisha kwa kutembea na mwanafunzi yeyote hadi leo niliwakwepa na kuwachapa viboko vya nguvu, inafikia wakati unatoa zoezi unakuta vikaratasi vya mahaba naishia kuvichana na kuwaadhibu wahusika, japo najua wapo walimu wasio na maadili wanaowatumia wanafunzi ila mimi nimekataa na nastahili kabisa kupewa tuzo au pongezi kwa hili.

Kusudi la kuleta mada hii humu ni kuwaasa ndugu zangu walimu na watu wazima wengine tusijaribu kuwalaghai wanafunzi wa shule kwakua uelewa wao ni mdogo.

Ahsanteni!

Hongera sana Mkuu,tunahitaji walimu waadilifu kama ww,Mungu akusimamie sana
 
Kweli Sisi Walimu Tunapata Mitego Mingi Kwa Wanafunzi, Ila Tunajitahidi Kuzikwepa Maana Sisi Ni Walezi
 
HONGERA SANA mwalimu.
Nawaza tu asipotokea wa kukupa tuzo sijui utaendelea na msimamo wako.!!
 
  • Thanks
Reactions: cmp
Hongera sana japo ninawasiwasi na wewe. Haya mambo magumu sana Mungu akutie nguvu.
 
Mimi ni mwalimu mwaka wa kumi na mbili sasa na wanafunzi wa kike ninawapiga sana Viboko maana hakuna njia nyingine.
Ndugu mwalimu kazi yako ni nzuri sana na endelea kuwachapa viboko kweli kweli wala usiwachekee..Kizazi hiki hakina adabu.
mwaka 2008 wakati nafundisha WeruWeru kuna mabinti niliwakuta wanatoroka usiku wanaenda kwa wanaume sasa kuwakamata wakataka kuanza kuleta mazoea.Aisee niliwatandika bakora bweni zima na kuwanyanganya visimu vyao hadi walifkuja faulu vizuri sana.
Juzi nimekutana nako kamoja kako kwenye gari yake kakasimamisha kakanisalimia na kakanitoa buku ya Soda,..sasa hivi kanafanya PCCB na maisha yamekanyookea.
Mkuu wewe chapa sana hao watoto hakuna tena njia.

Sent from my BlackBerry 9720 using JamiiForums
 
Mimi ni mwalimu nimeajiriwa na nina mwaka mmoja kazini, nilipangiwa shule moja kijijini yenye wanafunzi mchanganyiko wa kike na wakiume.

Kiukweli ualimu usipokua makini kufungwa ni nje nje hasa kwenye suala la mahusiano na wanafunzi wa kike, nilipata sijui niite bahati au mkosi wa kupendwa na wanafunzi wa kike na nilihisi ni kutokana na mwonekano wangu mdogo.

Ssikukubali kujidhalilisha kwa kutembea na mwanafunzi yeyote hadi leo niliwakwepa na kuwachapa viboko vya nguvu, inafikia wakati unatoa zoezi unakuta vikaratasi vya mahaba naishia kuvichana na kuwaadhibu wahusika, japo najua wapo walimu wasio na maadili wanaowatumia wanafunzi ila mimi nimekataa na nastahili kabisa kupewa tuzo au pongezi kwa hili.

Kusudi la kuleta mada hii humu ni kuwaasa ndugu zangu walimu na watu wazima wengine tusijaribu kuwalaghai wanafunzi wa shule kwakua uelewa wao ni mdogo.

Ahsanteni!

huna tofauti na mtu anaejisifu hajawahi kufungwa,anasomesha watoto na kuwatunza! hamna cha kujisifia mnatimiza wajibu wenu!
 
Mimi ni mwalimu nimeajiriwa na nina mwaka mmoja kazini, nilipangiwa shule moja kijijini yenye wanafunzi mchanganyiko wa kike na wakiume.

Kiukweli ualimu usipokua makini kufungwa ni nje nje hasa kwenye suala la mahusiano na wanafunzi wa kike, nilipata sijui niite bahati au mkosi wa kupendwa na wanafunzi wa kike na nilihisi ni kutokana na mwonekano wangu mdogo.

Ssikukubali kujidhalilisha kwa kutembea na mwanafunzi yeyote hadi leo niliwakwepa na kuwachapa viboko vya nguvu, inafikia wakati unatoa zoezi unakuta vikaratasi vya mahaba naishia kuvichana na kuwaadhibu wahusika, japo najua wapo walimu wasio na maadili wanaowatumia wanafunzi ila mimi nimekataa na nastahili kabisa kupewa tuzo au pongezi kwa hili.

Kusudi la kuleta mada hii humu ni kuwaasa ndugu zangu walimu na watu wazima wengine tusijaribu kuwalaghai wanafunzi wa shule kwakua uelewa wao ni mdogo.

Ahsanteni!
Endelea kuonyesha msimamo wako bro
 
Back
Top Bottom