MCHUMIPESA
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 2,088
- 259
hata kama tuna ushabiki wa vyama,ila ni lazma kuweka maslahi ya nchi mbele kwanza...kama kuna mgombea alie kua na hadhi,elimu,hekima na sifa zote za uongozi,basi hakuna budi ya kumkubali na kuweka ushabiki wa vyama pembeni...kwa hiyo nachosema ni kua godbless lema hana hadhi ya kua mbunge,na personality yake ni dhaifu na kwa upanda wa joshua nassari yeye ana kila kitu cha kupewa nafasi ya uongozi!!
kyanywa orubisiKyatamila!!!!

we sema utakavyo..... lakini jimbo litarudi CDM tu. mnatupotezea muda tu wa kurudia uchaguzisiasa ni kutoa sababu,unaposema unamtaka fulani na humtaki fulani basi lazma ujue yupi kafanya nini...unaposema unamtaka lema na sababu huna basi umefilisika kisiasa..hivi mbaka leo hii lema kipi kafanya??zaidi ya kuwatisha watalii kuja katika mji wao walio uzoea wa arusha?hiyo ndo sekta inayo ongoza kuchangia bajeti yetu yeye mbumbumbu anataka kuiua...leo chadema wana watuma vijana ambao ndo tegemezi katika kujenga uchumi wa hii nchii kwenda kufanya fujo na maandamano yasio na kichwa wa miguu,hivi wakitokea majeruhi chadema wana wahudumia kwa matibabu??..hata kama una uchu wa madaraka.basi pita njia yenye kuweza kuwashawishi wenye akili pia,sio kila siku kuungwa mgono na wajinga wenye sinto fahamu nyingi!..
Kudaadeki, lazima kujiongezea tahadhari kipindi hiki unapokuwa AR na hasa pale Ngarenaro!
wewe kweli fukara wa siasa,sasa jina na topic yanahusiana?hata kwenye transaction za chadema utakuta walio ingiza shapaa wana majina kama haya..ongelea lengo binafsi sio jina,kama ni jina basi ndo wenye majina kama hayo ndo wanae mlisha huyo lema....acha uabunuasi,tafta elimu wewe!!TUMESHAFAHAMU LENGO LAKO NI NINI,JINA LAKO TU LINASADIFU UNACHOLENGA NI NIN,WATU KAMA WEWE HAWAFAI KATKA JAMII HII!,kwa taarifa yako lema ataendelea kuwa mbunge wa A.Town utake usitake magamba type we!.Uwe na hoja za haja na siyo pumba kama hz ulizoweka hapa kwa great thinkes!,shame on you.
Watu wamechoshwa na ufisadi, hivyo yeyote anae pigania haki za wananchi anastahili kuwa MP na si haiba wala unayofikiri wewe
'Hana hadhi' unamaanisha nini? Kule kwetu Tanga tuna Profesa Maji Marefu ni darasa la saba na ni mganga wa kienyeji lakini ni Mbunge, unaliongeleje hiyo?
hata kama tuna ushabiki wa vyama,ila ni lazma kuweka maslahi ya nchi mbele kwanza...kama kuna mgombea alie kua na hadhi,elimu,hekima na sifa zote za uongozi,basi hakuna budi ya kumkubali na kuweka ushabiki wa vyama pembeni...kwa hiyo nachosema ni kua godbless lema hana hadhi ya kua mbunge,na personality yake ni dhaifu na kwa upanda wa joshua nassari yeye ana kila kitu cha kupewa nafasi ya uongozi!!
hata kama tuna ushabiki wa vyama,ila ni lazma kuweka maslahi ya nchi mbele kwanza...kama kuna mgombea alie kua na hadhi,elimu,hekima na sifa zote za uongozi,basi hakuna budi ya kumkubali na kuweka ushabiki wa vyama pembeni...kwa hiyo nachosema ni kua godbless lema hana hadhi ya kua mbunge,na personality yake ni dhaifu na kwa upanda wa joshua nassari yeye ana kila kitu cha kupewa nafasi ya uongozi!!
Kama wewe ni mpiga kura, huo ni uamuzi wako!