WHO Z NYERERE KWANI NYERERE NI MUNGU ALPOWAFKS KNA SOKOINE NA ABOOD JUMBE BAADA YA KUONA WANAMZD UMAARUFU..NASARI ATAJUTA AENDELEE NA KDOMODOMO nasari Alpopewa rushwa na kna membe arumeru mbna hatusemi jenga hoja ustupe hadth za nyerere 2po dgtal sasa hv
yie ndio wale wachache mnaowaza chakula ndio kinanenepesha kumbe mengine ni magonjwa nyambafJamaa amenenepa sana muda mfupi ndio maana anakuwa mchovumchovu.
Angejiunga na wenzake JKT asingefikwa na hayo
Angekua muhuni asingemgaragaza Sioi na Mkwe wakenasari muhuni tu wala asidanganye watu.
Hili swali ungeliekeza kwenye uongozi wa hospitali ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) ya Selian, Arusha. Hata hivyo, kwani Waziri Mkuu ni dakitali ambaye alipaswa kujua kama Mh. Nassari ni mgonjwa au faker.
Why do I have to read between the lines when I can read the hospital statement ambayo inasema,
Kwa jinsi ninavyomjua lowasa, nina uhakika 100% anahusika. Lowasa amechukua vijana wengi monduli na kuwaweka mfukoni, anawapa pesa na hata kuwanywesha pombe ili wadhuru watu! Lowasa hawezi kupata huo urais, ni mtu hatari sana!
Imefika kipindi hawa wanasiasa waache porojo na kupayuka...
Kama una ushahidi nenda kwenye vyombo stahiki kuliko kulalama...
Kwa kuendelea kulalama tu hivi, haitoi msaada kwa Nassari bali inazidi kumvimbisha kichwa mtuhumu wake...
Tanzania politics at its best.
Mpaka kufikia 2015 tutakuwa tumeona na kusikia mengi.
Politically, Today is Mh. Lowassa accusation day.
Kuna mkono wa Mh. Lowassa katika dhoruba hii ya kisiasa na kidini, This is according to Mh. Nassari. Is this true or is just a filthy insinuation?.
This is very serious allegation lakini wakati huo huo na yeye Mh. Nassari anapigwa dongo kama ni "mwigizaji" na hata hospitali ya Selian ilikuwa na angalizo tofauti ukilinganisha na kile Mh. Nassari alikuwa akikisema. Mgonjwa na dakitali wake wamepishana katika kujaza hospital exit form.
Who's telling the truth ?.
Wanasiasa watendeeni haki wananchi wenu. Tanzania kwa sasa inaweweseka kwa sababu ya wanasiasa na siasa uchwara.
Hii sentensi tata sijui ina maana gani. Kwa kifupi tu tunaweza kuiweka kwa jinsi tunavyotaka na ikaleta maana.
Mh. Nassari ana maanisha kama viongozi wa CCM hawajakumbwa na dhuruba hii ya kisiasa na kidini ina maana wao ndiyo watengenezaji. Really?.
Lakini pia anasahau kuna wengine tunasikia wanajiteka na kudai wametekwa kama ilivyotokea hapa JF, Zanzibar na Tanzania bara (Ludovick). Hawa nao sijui tuwaweke katika kundi lipi wakati vile vile hata yeye anadaiwa ni mgonjwa magumashi (FAKER).
Siasa za Tanzania ni vituko tupu.
Lowasa anajipunguzia kura za urais
Wow, Don't tell me THE BIG SHOWNdugu Ng'wamapalala,do you trust that doctor??
Some people says everything is for sale in this country...!
By the way hivi unajua yule kamanda mwenzetu anaeijiita kwamba ni mtoto wa nyerere amekiri kwamba si mwanafamilia hiyo bali alikua anatumia hilo jina kinyume na uhalisia??
Amekiri na kupata aibu kubwa sana,
Yule anaeitwa Yericko Nyerere...
Si unaukumbuka ule mgogoro wetu that day??
cc@Ritz Ben saa nane...
Wow, Don't tell me THE BIG SHOW
I can't believe it even though we suspect something was fishy in Yericko Nyerere online character ukilinganisha na watoto hasa wa Mwl. Nyerere.
Please, link me to the confession thread.
Shukrani zangu THE BIG SHOW kwa kunigusa sikio kuhusiana na huyu jamaa.Nenda juu kabisa kwenye jukwaa la siasa kuna mada ipo closed sasa inasema UCHOCHEZ WA MOHAMED SAID NA DHIHAKA KWA WAPIGANIA UHURU WA TANZANIA,
INVISIBLE KAIWEKA KAMA STICKY,
HUMO NDAN NDIMO UTAKUTA MAJIGAMBO YAKE KWANA NYERERE NI BABA YAKE,PIA UTAKUTA MAJUTO YAKE NA KUOMBA KWAKE RADHI KWAMBA NYERERE SI BABA YAKE,
YANI KAVULIWA NGUVU KABISA,
cc Ritz..
Shukrani zangu THE BIG SHOW kwa kunigusa sikio kuhusiana na huyu jamaa.
We can now go to bed knowing Yericko Nyerere maisha yake hapa JF yalikuwa yanaendeshwa kwa kutumia heshima fake ( Mwl. Nyerere family). I believe, he has cheated so many people not just in JF but also katika maisha yake ya kila siku Tanzania.
Kitu kilichokuwa kinanishangaza, kila jambo ambalo lilikuwa linahusu familia ya Mwl. Nyerere alikuwa very active kutoa comments na kuleta mada. The guy was living a LIE and deceiving himself. This kind of people don't feel ashamed at all.
Shukrani zangu THE BIG SHOW kwa kunigusa sikio kuhusiana na huyu jamaa.
We can now go to bed knowing Yericko Nyerere maisha yake hapa JF yalikuwa yanaendeshwa kwa kutumia heshima fake ( Mwl. Nyerere family). I believe, he has cheated so many people not just in JF but also katika maisha yake ya kila siku Tanzania.
Kitu kilichokuwa kinanishangaza, kila jambo ambalo lilikuwa linahusu familia ya Mwl. Nyerere alikuwa very active kutoa comments na kuleta mada. The guy was living a LIE and deceiving himself. This kind of people don't feel ashamed at all.