Nassari kufunga Ndoa Jumamosi

Nassari kufunga Ndoa Jumamosi

Mbona ndoa za wengne hazisemwi ina mana huyo ni nan?e ndoa ifanikiwe[/QUO
 
Nina kadi ya Vicky Shika na Esther B.europe nitawapata wapi nao waje waone harusi ?
naomba namba zao za siri
 
Beautful natural woman to the point. I am so impressed, binti hata nywele ni long and natural, natural life completely. Cute cute. Enjoy Nassari. I can see beautiful future with this wife. She looks to be your wife, mother to you and your forthcoming blessed children. Hakika kwa tabia njema ya Nassari ambayo hata magamba hawakupata sikendo yake basi you are perfect man marrying perfect wife. Congratulations to both of you. Niachie ndafu maana najua wameru kesho ni kuchinja tu. Ndoa za mafisadi wanaalikana wenyewe kwa kadi. Ya mtu wa Mungu Nassari ni Free entrance!!!! Generosity beyond.....
 
Mbona kachukua jiko bovu hivyo??

Mbele Pasi nyuma Pasi


Lkn sishangai huyo dogo ni mbugila mbugila.

Acha kabisa mke mzuri yule tena anaonekana kabis material wife si vicheche vyenu. Tofautisha mke na akina Vicky Kamata na Flora Mbasha na wale vipoozeo wa wazee!!!! Tehe Tehe!! Mke si sura, ni zaidi ya hapo!!!! Wanaotaka sura wakaoe Wema Sepetu, Kidoti, Lulu, Irine Uwoya, Anti Ezekiel na wote unaofahamu ni mastaa wenye jina mujini!!!
 
Mbona kachukua jiko bovu hivyo??

Mbele Pasi nyuma Pasi


Lkn sishangai huyo dogo ni mbugila mbugila.

Loh!!! Watu mna maneno ya kashfa, ubovu wa jiko una upima kwa kigezo gani? Angekuwa bonge napo ungesema vibaya.
 
sasa wewe uliyejazia takko si umuombe akuowe wewe? huu wivu mwingine nini ishara yake?

Asha mohamd bana.

Baada ya kubakwa huku mtwara naskia kaachiwa magonjwa ya minyoo.

Sasa lini atakuja tumpakue minyoo ile??

Eti bint wa kufikia wa kahtaan.

Njoo tukupe dawa.
 
Acha kabisa mke mzuri yule tena anaonekana kabis material wife si vicheche vyenu. Tofautisha mke na akina Vicky Kamata na Flora Mbasha na wale vipoozeo wa wazee!!!! Tehe Tehe!! Mke si sura, ni zaidi ya hapo!!!! Wanaotaka sura wakaoe Wema Sepetu, Kidoti, Lulu, Irine Uwoya, Anti Ezekiel na wote unaofahamu ni mastaa wenye jina mujini!!!


Jiko bovu lile..

Wanaume sharti wale vizuri.

Sasa unakulaje vibovu??
Maisha ni haya haya.


Kula vizuri
 
Zitto kijana hivyo! Kuna Mzee mmoja mpaka kesho yuko na mchumba.
ha ha ha ha..., yule mzee alishaoa zaman, na watoto anao. si unajua ndoa za ki-kristo, hawez kufunga ndoa tena ndo maana ataendelea kukaa uchumba.
 
Mh. Makinda amesema ametangaza Bungeni kuwa Mh. Nassari atafunga ndoa Jumamosi, ila hakusema atafunga ndoa na nani? Mh. Nassari ni member humu nadhani atatudokezea kidogo.
Hongera saa Mh. Nassari.

====================

Matukio ya sherehe ya sendoff

Gaga hakuna
 
Back
Top Bottom