Nassari kufunga Ndoa Jumamosi

Nassari kufunga Ndoa Jumamosi

Mh. Makinda amesema ametangaza Bungeni kuwa Mh. Nassari atafunga ndoa Jumamosi, ila hakusema atafunga ndoa na nani? Mh. Nassari ni member humu nadhani atatudokezea kidogo.
Hongera saa Mh. Nassari.
Alishasema
Atamwoa halima mdee
Shida yenu nini
 
Itifaki izingatiwe katika hili. Kiutaratibu ilibidi bosi wake aanze kuoa kabla yake.

Dr Slaa atajisikia vibaya sana, sijui hata kama atahudhuria hiyo Harusi.
 
we mwanamke au mwanaume? Mbona unapenda kufatilia maisha binafsi ya mtu? Wewe unatoka na nani?

Una bahati mbaya kweli CHEUSI, mi nimeshaoa hebu check na masela wengine unaweza kubatisha
na ww ukaolewa.
 
hahaha!!!!watu mnamajibu ya kukera sana huku...mi nadhani joyce mukya atamfaa kijana,,,,
 
Hongera zako mwaya nawewe ukafaidi utamu wa usiku, yaani utakuwa unaona kumekucha haraka ili usiamuke kwenda mjengoni!
 
Ile tabia yake ya kutembea na majimama kule Tengeru naona sasa ataiacha...cdm viongozi wake wanapenda michepuko sana.

[h=1]Unamfahamu malikia wa nyuki??? Ni mzigo wa nani???[/h]

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"] Mwenyekiti wa klabu hiyo, Alhaj Ismail Aden Rage (kulia), akizungumza na Waandishi wa Habari mchana wa leo, makao makuu ya klabu hiyo, Mtaa wa Msimbazi, kuhamasisha mashabiki wa timu hiyo kujitokeza kwa wingi uwanjani katika mchezo wa kwanza wa Raundi ya Kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika, dhidi ya Recreativo de Libolo ya Angola keshokutwa kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Kushoto ni Mfadhili wa Si
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Tabia yake chafu ya kuiba wake za watu.
[h=1]Hii pia ni tabia ya Slaa??[/h][TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]

Back
Top Bottom