mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 93,991
- 132,359
basi mh nassari ka copy alafu ka paste kwa@...vicky kamata
atamwoa yule aliyeimba wanawake na maendeleo tufanye kazi tusone mbele.
Hivi harusi ya Dr Slaa tayari??
Babu Slaa na Sugu wajifunze kutoka kwake.
Hongera Sana Nassari. Umempita mpaka Mzee Slaa.
we mwanamke au mwanaume? Mbona unapenda kufatilia maisha binafsi ya mtu? Wewe unatoka na nani?Ile tabia yake ya kutembea na majimama kule Tengeru naona sasa ataiacha...cdm viongozi wake wanapenda michepuko sana.
Huyu naye bajeti ya harusi yake ni milioni ngapi vile?
atamwoa yule aliyeimba wanawake na maendeleo tufanye kazi tusone mbele.
Mh. Makinda amesema ametangaza Bungeni kuwa Mh. Nassari atafunga ndoa Jumamosi, ila hakusema atafunga ndoa na nani? Mh. Nassari ni member humu nadhani atatudokezea kidogo.
Hongera saa Mh. Nassari.
Hivi harusi ya Dr Slaa tayari??
Mh. Makinda amesema ametangaza Bungeni kuwa Mh. Nassari atafunga ndoa Jumamosi, ila hakusema atafunga ndoa na nani? Mh. Nassari ni member humu nadhani atatudokezea kidogo.
Hongera saa Mh. Nassari.
Nauliza Swali Kwa Mfano Wote Wanaofunga Ndoa Wakiwa Ni Wavuta Bange / Bangi Watupu Mtoto Watakayemzaa Atakuwaje? Nina Maana Kubwa Mno Kuuliza Hili Swali Na Nikijibiwa Nami Nitatiririka Kinagaubaga!
Mwache chalii naye akalale bila chupi atuletee mrejesho kule MMU
Ile tabia yake ya kutembea na majimama kule Tengeru naona sasa ataiacha...cdm viongozi wake wanapenda michepuko sana.
Anamuoa Anna Makinda
Hongera Sana Nassari. Umempita mpaka Mzee Slaa.
Mwache chalii naye akalale bila chupi atuletee mrejesho kule MMU
Anamuoa Anna Makinda