Nassari anavyowacheza shere CHADEMA

Nassari anavyowacheza shere CHADEMA

Nilimpigia kura mara 2, nashukuru sina mpango wa kupga kura tena.
 
Leo nina furaha ya hali ya juu kuona Bashite anapigwa chini na wana dsm
Ngoja akusikie kama utakaa huko maji matitu kwenu!
IMG-20200720-WA0007.jpg
 
Naona hata wewe leo unafurahia kupigwa kwake maana nasikia ndiye aliye pendekeza lumumba mpunguziwe posho toka buku 7 hadi buku 3000
Hapa naona dalili ya doze kuishiwa nguvu unahitajika kuongezewa!
 
Baada ya nassari kukaa kimya bila kuonekana kwenye vyombo vya habari kuhusu chama chake cha chadema mpaka ilipelekea chadema kuanza kuondoa imani kwake na kuzuka uvumi kuwa yupo mbioni kujiunga na ccm na hiyo ilichagizwa na madiwani wa kwenye jimbo lake kujiuzulu na kuhamia ccm

Sasa inaonekana nassari yupo katika mkakati wa kurudisha imani yake kwa wana chadema walioipoteza na kuanza kubuni mipango ya kupambana na mkuu wa wilaya na kutoa ushahidi wa video na yote ni njia ya kuwazima na kuwapoteza chadema wasifikirie lililopo kichwani mwake na mkakati wake kwa kiasi kikubwa amefanikiwa!

Natumaini muda ukifika nassari ataweka wazi kumuunga mkono JJPM

Vita ni akili

Siasa mpaka 2020!
Kapata namba za viatu
 
 
Ulikuwa unafahamu kilicho nyuma ya pazia
Hapana, Kipara kipya alijua kama tulivyojua wengine. Kwa mtu mwenye akili haikuhitaji muda kubaini

1. Nassari alianza kuwa na misimamo tofauti, wenzake Bungeni wakimnyooshea vidole kwa ulakini

2. Kitendo cha kupotea Bungeni akijua kanuni haziruhusu hata bila uongozi wa chama chake kujua alikuwa wapi ilikuwa ni dalili kuwa hisia (#1) hapo juu zilikuwa kweli. Haiwezekani mbunge apotee bila chief whip kujua

3. Ubabaishaji wa kwenda mahakamani ilikuwa wazi anaficha kilicho nyuma yake.

Kilichofanyika, badala ya kuhama chama kama wengine, Nassari alijua jasho na damu, nafsi ikamsuta sana.
Mpango wake na wenye pesa ulikuwa kuuza jimbo kinamna. Ndivyo mbunge alivyopatikana haraka
Hayo yote yakiendelea huyu bwana mdogo alikuwa well informed na ''hakupoteza masilahi'' alilipwa uzuri

Katika siku nilizofurahia watu wa Arumeru ni leo, bila kujali vyama wakaamua kumtosa msaliti huyu wa umma
Msaliti aliyeuza ''maisha ya wenzake'' kwa ujira .
Huu natamani uwe mwisho wake wa siasa na afutike katika siasa za dunia hii.
 
Back
Top Bottom