Nassari anavyowacheza shere CHADEMA

Nassari anavyowacheza shere CHADEMA

Serikali imekuwa kubwa jinga kuliko kubwa lolote LA kindagate na mtoa mada angalia usijekuwa kiranja wao
 
wafuasi wa chadema ni wepesi sana kuwalaghai,wengi wao ni bendera fuata upepo na wana uwezo mdogo sana wa kufikiri.
Ukitaka kuona maajabu ya watu wa chadema wanajifanya wamesoma na wana upeo mkubwa,angalia Ilmu ya mwenyekiti wao!,naye kang'ang'ania madarakani hakuna mjanja wa kumg'oa
Siyo tatizo! Mtume Paulo alikuwa msomi kuliko Yesu!kuliko hata mitume wenzie! But still na yeye alikuwa mwanafunzi wa Yesu kristo!
 
Kazi
mnyeti hana mda kujibu pumba jukumu lake huko nikuwahudumia wananchi,diwani kama ametoka ya nini kimfatilia mbona lowasa na mbowe hamkumfatilia mkamuuliza ameoendekezwaje kupeperusha bendera na huku mlisema nifisadi kila mtu anauburu wakuamua anayotaka mlitaka akae chadema vyama vipo vingi j
Kazi ya wanzuki hii! Haijawahi kumwacha mlumumba salama!
 
Serikali imekuwa kubwa jinga kuliko kubwa lolote LA kindagate na mtoa mada angalia usijekuwa kiranja wao
Nassari anajua movie yake ya kwanza mliipenda subirini part 2 amemrikodi mbowe!
 
Tatizo hujui chadema, kwa vile imewapita karne nyingi sana kifikra na mipango.Umejiuliza kwanini hawana office ,ccm ndio inalilia km vile ni lumumba imetolewa? UKITAKA PIMA HEMBU JIULIZE KESHO TUKIAMKA NASSER AAMKE KAJINYEA NA MASHITE NAE KAJINYEA.M wenyekiti wa chama gani hatotoka salama?
 
Na hili la kufikiri kila mwanachadema ndio mwenye na fikra unachemka sema ni woga na mahaba ndio yanayokusukuma kuhisi hilo,kosa kama hili walikua nalo cuf wakijihisi ni wajuaji baada ya watu kujua chama kina viongozi wasanii na wanachama ni misekure fulani sasa cuf chali mwendo mdundo chadema ipo kasi kuelekea shimo lile la cuf
SIASA MPAKA 2020
 
Utaumia sana, ila chadema anayebaki ni makini zaidi ya akina Zitto,Mkumbo,Mwigamba na madiwani wanaohongwa na wakuu wa wilaya wenye vichwa na akili ndogo km tuliowaona ktk video. CUF wapo na chadema sasa nadhani uanona jinsi wanavyoitoa ccm kamasi. Na mkicheza itabidi munchukue Lipumba na wapuuzi wake.Maalim na wengine wanaruka mtumbwi na kuendeleza mziki mkubwa zaidi.
 
Baada ya nassari kukaa kimya bila kuonekana kwenye vyombo vya habari kuhusu chama chake cha chadema mpaka ilipelekea chadema kuanza kuondoa imani kwake na kuzuka uvumi kuwa yupo mbioni kujiunga na ccm na hiyo ilichagizwa na madiwani wa kwenye jimbo lake kujiuzulu na kuhamia ccm

Sasa inaonekana nassari yupo katika mkakati wa kurudisha imani yake kwa wana chadema walioipoteza na kuanza kubuni mipango ya kupambana na mkuu wa wilaya na kutoa ushahidi wa video na yote ni njia ya kuwazima na kuwapoteza chadema wasifikirie lililopo kichwani mwake na mkakati wake kwa kiasi kikubwa amefanikiwa!

Natumaini muda ukifika nassari ataweka wazi kumuunga mkono JJPM

Vita ni akili

Siasa mpaka 2020!
Hili nalo lilitimia!
 
Leo kapigwa za shingo na tonge la ugali limekwama kooni

Njaa ukiuvalia sana kibwaya unawehuka kama wewe
 
Back
Top Bottom