kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 20,142
- 24,432
- Thread starter
- #81
Mimi sijaumia ila nilikuwa najiuliza ni vipi mtu mwerevu kama wewe uishi katika zama za giza!Unaweza kuchimba kaburi lakini sio kuwa umeua, vipi bwana kipara umeumia?