Nassari aingia mkataba na Obama Foundation

Msidanganyane wala kujipa moyo....sometimes unahitaji state rexommendation kupata hizi post....na ni kawaida ukifanya kazi na mfadhili hataki pesa yake itumike kupromote kundi flani la.kisiasa.....ni kawaida....hio ni asante tam tu kama zingine hasa baada ya kaz nzito kama ile
 
AUGUST 27, 2018
Back to News
Harris Office of Admissions
Emailharrisadmissions@uchicago.edu
773.702.8401
unknown-2.jpeg

The youngest Member of Parliament in Tanzania, Nassari was first elected as a Member of Tanzania Parliament (MP) when he was 26 years old in 2012, and then reelected in 2015. He holds a BA in Policy, Planning, and Administration from the University of Dar Es Salaam and an MA from the University of Westminster in International Relations and Democratic Politics.
Nassari has debated, scrutinized, and voted on legislation for the past six years, with particular focus on improving the quality of public education and healthcare in Tanzania, a country which previously only owned two ambulances. Committed to action, Nassari purchased ambulances and donated them to increase the fleet of emergency healthcare vehicles.
While Nassari is completing the MAIDP and Obama Foundation Scholars program, he will take a nine-month sabbatical from Parliament. Afterward, he plans to continue his work for the East African community.

https://harris.uchicago.edu/news-events/events/world-it-book-discussion-ben-rhodes
By 2012 the country had only two ambulances? !
 
" a country which previously only owned two ambulances. Committed to action, Nassari "purchased ambulances and donated them to increase the fleet of emergency healthcare vehicles" Hii haijakaa sawa
 
Kama umesoma masharti yake. Mojawapo ni kutokujihuisha na siasa.

Watu wengi humu nahisi hamufahamu hiw serious references of past employments are kwa wenzetu huko. Huwezi kupata permanent contract kama hawajapokea na kurizika na references zako za previous employment. Sasa kama umefukuzwa kwa utoro kazini hata kama ni Padri unafikiri utaajiriwa? Sijasema kama kwa sasa yeye ni mwanasiasa, watataka kujuwa tu muajiri wako wa zamani anasemaje kuhusu wewe? Sasa kama alikuwa ni politician kwa hivyo asitowe references?
 
Mara paaap Ndugai naandika barua kuntambua Nassari kuwa ni Mbunge halali hata wa Kiti Maalamu.....ili mradi asiende tu huko.
 
Obama is ex-president... however ndio founder member wa organization?
Boss can break rules.. nyie wafanyakaz wa chini mnaweza?
Yes nassari alikuwa mwanasiasa..but anaenda kujiunga na kazi ambayo ina require aweke politica pembeni.
The only way anaweza rudi kwenye siasa labda aache hiyo kazi. Otherwise mtaka cha uvunguni sharti ainame.
Unataka kuniambia Obama foundation haitomu aknowlwdge Obama kama ni Ex President?

Siasa ni.kazi na reference hutaka.kujuwa what happened your most recent job(s), depending on the duration of the reference required. Ikiwa mtu kawa sacked kwa utoro kazini, regardless of nature of employment, being clergy, politician, charity worker or any other profession, paid or unpaid lazima employer wako mpya ajuwe.
 
Obama is ex-president... however ndio founder member wa organization?
Boss can break rules.. nyie wafanyakaz wa chini mnaweza?
Yes nassari alikuwa mwanasiasa..but anaenda kujiunga na kazi ambayo ina require aweke politica pembeni.
The only way anaweza rudi kwenye siasa labda aache hiyo kazi. Otherwise mtaka cha uvunguni sharti ainame.
Dude, you dont get my point! Mimi nilisema huyu jamaa anakwenda kufanya kazi wakati references za previous employer ni kwamba kafukuzwa kazi kwa utoro! Thata all was saying!
 
Kama nawaona vile Lusinde na Msukuma wanavyoona aibu, kwani hawakutarajia kusikia hiki kitu huku wenyewe kwa darasa lao la saba yangewatokea ya Nasari kufukuzwa Ubunge wangeishia kuuza Nyanya au kuwa omba omba baada ya miaka miwili.Hivyo wanatakiwa waelewa Mbunge Mmoja wa CHADEMA sawa na wabunge 100 wa CCM. kati ya hao 100 na Waitara yumo,
 
Ndiyo hivyo watu hatulingani.
Mtazame waitara tulimuokota tu lkn sasa katusaliti mwangalie Gekul yani watu tuna utafauti sawa na vidole vya mikono
Ikitokea nikapata bahati ya kukutana na viongozi wa juu wa chama nina ujumbe mujarabu wa kuwapa ambao utasaidia pakubwa lakini ni muda wa ku trace historical background za watu tunaotaka kuwapa nafasi kuongoza au kuchaguliwa ktk nafasi za kiserikali, kati ya " waliounga juhudi",hakuna hata mmoja mwenye historia nzuri ndani ya chama kama ilivyo kwa John Mnyika au Heche, mfano Katambi alitoka ccm tukamwamini kizembe, ni wakati wa makao makuu kuunda timu ya uchunguzi kwaajili ya kufanya vetting kwa watu tunaotaka kuwapa ridhaa kuwakilisha chama, nje na hapo tunazidi kuwakatisha tamaa wapenda mabadiliko
 
Mkuu unafiki alioufanya Nassari hastahili kusamehewa, ameonesha unafiki wa kiwango cha "standard gauge "
Kama nawaona vile Lusinde na Msukuma wanavyoona aibu, kwani hawakutarajia kusikia hiki kitu huku wenyewe kwa darasa lao la saba yangewatokea ya Nasari kufukuzwa Ubunge wangeishia kuuza Nyanya au kuwa omba omba baada ya miaka miwili.Hivyo wanatakiwa waelewa Mbunge Mmoja wa CHADEMA sawa na wabunge 100 wa CCM. kati ya hao 100 na Waitara yumo,
 
Dogo kawachezea chadema smart... alijuwa sharti ni masiasa majitaka.... Aka MUTE kimtindo ili afukuzwe kuliko kuitwa msaliti..
Kawapiga tobwa chadema mnamlalamikia Ndungai... Possibly hata Ndungai aliambiwa nifukuze spika nitambae 😅 😅
Mjini shule... mambo ya vidole na pipoz bila pesa nani anataka
 
Kwakweli tumejifunza kutoka kwa hawa tulio waamini baada ya kutemwa upande wa pili lkn wakaja kutisaliti
Ikitokea nikapata bahati ya kukutana na viongozi wa juu wa chama nina ujumbe mujarabu wa kuwapa ambao utasaidia pakubwa lakini ni muda wa ku trace historical background za watu tunaotaka kuwapa nafasi kuongoza au kuchaguliwa ktk nafasi za kiserikali, kati ya " waliounga juhudi",hakuna hata mmoja mwenye historia nzuri ndani ya chama kama ilivyo kwa John Mnyika au Heche, mfano Katambi alitoka ccm tukamwamini kizembe, ni wakati wa makao makuu kuunda timu ya uchunguzi kwaajili ya kufanya vetting kwa watu tunaotaka kuwapa ridhaa kuwakilisha chama, nje na hapo tunazidi kuwakatisha tamaa wapenda mabadiliko
 
Employer doesnt care. Otherwise asingeitwa. I dont mean kwamba mashirika yote yako hivyo hapana.
Ila huyu alijijengea base ya kupata hiyo kazi kwa muda mrefu sana.. hao jamaa wamemsomesha masters yake. U can see malengo yake before. Hiki kinachotokea ni result tu ya alichokitengeza to nyuma.

Back
Top Bottom