Sifa kubwa ukiwa serikalini lazima uwe na roho mbaya kuwatengenezea watu wengine kesi na kuwazamisha kwenye kina kirefu ili wasiibuke tena! Kazi hii hufanywa pia na wachawi na watu wanaitwa sadist! Yaani wakati wengine wanaumia na kutokwa machozi sadist anacheka na kushangilia! Mungu mkubwa amfariji huyu dogo japokuwa hatujui mengi juu ya sakata lake la kuvuliwa ubunge! Kuna watu walikuwa behind kumuumiza nassari lkn Mungu amemkumbuka! Kila la kheri
Haijalishi, yeye kapima kipato kaamua kuwasaliti Chadema na wananchi aliyokuwa anawawakilisha!Nafasi gani?,Talishi?
Obama foundation haitaki reference za siasa!Obama foundation gani iliyokuwa haitaki references za previous jobs, the latest of which sacked him.
Another point worths notinng ni kuwa atahitaji barua ya labour ( kama rules & regulations zitafatwa). Kama ana bèef kweli na hawa watu wa system basi wanaweza kumnyima.
Anayesoma namba hapa ni CHADEMA!Acha wivu.
Wewe ulitaka asote mtaani....wewe endelea kuisoma namba
AUGUST 27, 2018
Back to News
Harris Office of Admissions
Emailharrisadmissions@uchicago.edu
773.702.8401
![]()
The youngest Member of Parliament in Tanzania, Nassari was first elected as a Member of Tanzania Parliament (MP) when he was 26 years old in 2012, and then reelected in 2015. He holds a BA in Policy, Planning, and Administration from the University of Dar Es Salaam and an MA from the University of Westminster in International Relations and Democratic Politics.
Nassari has debated, scrutinized, and voted on legislation for the past six years, with particular focus on improving the quality of public education and healthcare in Tanzania, a country which previously only owned two ambulances.Committed to action, Nassari purchased ambulances and donated them to increase the fleet of emergency healthcare vehicles
While Nassari is completing the MAIDP and Obama Foundation Scholars program, he will take a nine-month sabbatical from Parliament. Afterward, he plans to continue his work for the East African community.
https://harris.uchicago.edu/news-events/events/world-it-book-discussion-ben-rhodes
Weeeee hii hongera imetoka kwenye makalio!Hongera zake!!!
Ni wivu tu narudia, ni wivu tu.Obama foundation gani iliyokuwa haitaki references za previous jobs, the latest of which sacked him.
Another point worths notinng ni kuwa atahitaji barua ya labour ( kama rules & regulations zitafatwa). Kama ana bèef kweli na hawa watu wa system basi wanaweza kumnyima.
Kaenda kwenye mafunzo ya ugaidi!Kumpira chura teke ni sawa na kumuongezea mwendo
Je wale wanaojiuzulu kisha kuunga juhudi na kuomba ubunge tena tuwaite vipihuko Obama foundation ufipa kampani limited ndo hospital aliyolazwa mwenzake alipokuwa anaamuuguzia!!! akili ndogo za bush shida sana!! mtu akizaliwa bush hata aende Mbinguni kijiji hakimtoki kichwani!! maisha yana formulas zake, haiingii akilini leo ufukuzwe ubunge (kazi) kesho tu ushadaka kazi ingine! mtu ukitimuliwa kazi kusota kwanza ndio hufuata kabla hujapata job ingine!! sisi si wajinga!!!
Maisha ni mipango +mitego,huko Obama foundation ufipa kampani limited ndo hospital aliyolazwa mwenzake alipokuwa anaamuuguzia!!! akili ndogo za bush shida sana!! mtu akizaliwa bush hata aende Mbinguni kijiji hakimtoki kichwani!! maisha yana formulas zake, haiingii akilini leo ufukuzwe ubunge (kazi) kesho tu ushadaka kazi ingine! mtu ukitimuliwa kazi kusota kwanza ndio hufuata kabla hujapata job ingine!! sisi si wajinga!!!
Kwa akili zako za kibashite bashite uko sahihihuko Obama foundation ufipa kampani limited ndo hospital aliyolazwa mwenzake alipokuwa anaamuuguzia!!! akili ndogo za bush shida sana!! mtu akizaliwa bush hata aende Mbinguni kijiji hakimtoki kichwani!! maisha yana formulas zake, haiingii akilini leo ufukuzwe ubunge (kazi) kesho tu ushadaka kazi ingine! mtu ukitimuliwa kazi kusota kwanza ndio hufuata kabla hujapata job ingine!! sisi si wajinga!!!
Yaani amewachia jimbo halafu wambanie, ndio maana hakuna alipoishutumu serikali wala CCM.Obama foundation gani iliyokuwa haitaki references za previous jobs, the latest of which sacked him.
Another point worths notinng ni kuwa atahitaji barua ya labour ( kama rules & regulations zitafatwa). Kama ana bèef kweli na hawa watu wa system basi wanaweza kumnyima.
AUGUST 27, 2018
Back to News
Harris Office of Admissions
Emailharrisadmissions@uchicago.edu
773.702.8401
![]()
The youngest Member of Parliament in Tanzania, Nassari was first elected as a Member of Tanzania Parliament (MP) when he was 26 years old in 2012, and then reelected in 2015. He holds a BA in Policy, Planning, and Administration from the University of Dar Es Salaam and an MA from the University of Westminster in International Relations and Democratic Politics.
Nassari has debated, scrutinized, and voted on legislation for the past six years, with particular focus on improving the quality of public education and healthcare in Tanzania, a country which previously only owned two ambulances. Committed to action, Nassari purchased ambulances and donated them to increase the fleet of emergency healthcare vehicles.