Ikitokea nikapata bahati ya kukutana na viongozi wa juu wa chama nina ujumbe mujarabu wa kuwapa ambao utasaidia pakubwa lakini ni muda wa ku trace historical background za watu tunaotaka kuwapa nafasi kuongoza au kuchaguliwa ktk nafasi za kiserikali, kati ya " waliounga juhudi",hakuna hata mmoja mwenye historia nzuri ndani ya chama kama ilivyo kwa John Mnyika au Heche, mfano Katambi alitoka ccm tukamwamini kizembe, ni wakati wa makao makuu kuunda timu ya uchunguzi kwaajili ya kufanya vetting kwa watu tunaotaka kuwapa ridhaa kuwakilisha chama, nje na hapo tunazidi kuwakatisha tamaa wapenda mabadiliko