Nassari aingia mkataba na Obama Foundation

huko Obama foundation ufipa kampani limited ndo hospital aliyolazwa mwenzake alipokuwa anaamuuguzia!!! akili ndogo za bush shida sana!! mtu akizaliwa bush hata aende Mbinguni kijiji hakimtoki kichwani!! maisha yana formulas zake, haiingii akilini leo ufukuzwe ubunge (kazi) kesho tu ushadaka kazi ingine! mtu ukitimuliwa kazi kusota kwanza ndio hufuata kabla hujapata job ingine!! sisi si wajinga!!!
Hata kama unaukataa lakini wewe ni mjinga.
 
huko Obama foundation ufipa kampani limited ndo hospital aliyolazwa mwenzake alipokuwa anaamuuguzia!!! akili ndogo za bush shida sana!! mtu akizaliwa bush hata aende Mbinguni kijiji hakimtoki kichwani!! maisha yana formulas zake, haiingii akilini leo ufukuzwe ubunge (kazi) kesho tu ushadaka kazi ingine! mtu ukitimuliwa kazi kusota kwanza ndio hufuata kabla hujapata job ingine!! sisi si wajinga!!!
Mitanzania ina roho mbaya sana
 
Alijua kabisa 2020 hatarudi bungeni kwa fingisu ndiyo maana ameamua akajenge nchi za wengine...
 
Huyo ni kijana smart, alishaona hali ilivyo, kauza position kabla ya Brand Chadema haijafifia.

Pesa aliyopata na hiyi alowance atakayopata kutoka Obama foundation inamtisha kwa miaka yake mitano, na atarudi hapa na jina litakuwa kimeshaoshwa vizuri na tutamuona upya ndani ya siasa za TZ.
 
huko Obama foundation ufipa Machame kampani limited ndo hospital aliyolazwa mwenzake alipokuwa anaamuuguzia!!! akili ndogo za bush shida sana!! mtu akizaliwa bush hata aende Mbinguni kijiji hakimtoki kichwani!! maisha yana formulas zake, haiingii akilini leo ufukuzwe ubunge (kazi) kesho tu ushadaka kazi ingine! mtu ukitimuliwa kazi kusota kwanza ndio hufuata kabla hujapata job ingine!! sisi si wajinga!!!
Mkuu kama CV yako ipo vizuri unadaka kazi ingine tu mara moja habari hii anayo Malecela wa WHO mkuukama CV mbovu utahangaika sana
 
..huyu atarudi 2025 na kugombea tena.

..na upo uwezekano akashinda kwasababu alipoondolewa hakuwa na ugomvi na wapiga kura wake.
Dah kweli ujinga mzigo,siku chache zilizopita mlimlaumu huku mkisema ndio namna mpya ya "kuunga mkono juhudi".Kumbe kawatelekeza wananchi,sasa hivi unasema "hakuwa na ugomvi na wapiga kura".Ajizi nyumba ya njaa
 
Ni wivu tu narudia, ni wivu tu.

Nakazia
Acha wivu usio kusaidia kitu boya wewe.

Only if you new!

Yaani nimuonee wivu mtu anayewacha kuwatumikia wananchi wa jimbo lake analipwa pamoja na marupurupu zaidi ya $200,000 yearly anaenda kupigwa baridi ya Chicago IL. Wewe utakuwa mshamba sana wa Western countries itakuwa.

Wewe kwa akili yako timamu ingekuwa US kutamu, Lemutuz ungemuona Tanzania?
 
huko Obama foundation ufipa Machame kampani limited ndo hospital aliyolazwa mwenzake alipokuwa anaamuuguzia!!! akili ndogo za bush shida sana!! mtu akizaliwa bush hata aende Mbinguni kijiji hakimtoki kichwani!! maisha yana formulas zake, haiingii akilini leo ufukuzwe ubunge (kazi) kesho tu ushadaka kazi ingine! mtu ukitimuliwa kazi kusota kwanza ndio hufuata kabla hujapata job ingine!! sisi si wajinga!!!
Not true hicho unachoongea sio formula ya Maisha!
 
ngoja upoteze kazi uone! waulize wenzako!
Marry am speaking from the experience

Ilishawahi kunitokea Mimi nikatengenezewa zengwe pale ofisini tena taasisi ya kidini kubwa tuu hapa Tz nikaondoka haikupita week mbili nikiwa naomba kazi nikaitwa kwa interview with the giant world class organization kwenye program za afya!

So what ur talking can not applies to everyone!
 
Aliamua kuacha ubunge ili apate hiyo kazi?? Amewapika changa la macho UKAWA...na Chadema.
Changa la macho wamepigwa sisiemu na ndugai kukimbilia kumfukuza ubunge wakidhani wamemkomoa kumbe ndo wanamsogeza zaidi.

Unadhani huyu angekuwa mbunge wa ccm kingempata kilichomkuta?
 
huko Obama foundation ufipa Machame kampani limited ndo hospital aliyolazwa mwenzake alipokuwa anaamuuguzia!!! akili ndogo za bush shida sana!! mtu akizaliwa bush hata aende Mbinguni kijiji hakimtoki kichwani!! maisha yana formulas zake, haiingii akilini leo ufukuzwe ubunge (kazi) kesho tu ushadaka kazi ingine! mtu ukitimuliwa kazi kusota kwanza ndio hufuata kabla hujapata job ingine!! sisi si wajinga!!!
Natamani kuiona sura yako. Aisee una roho mbaya sana.
 
Dah kweli ujinga mzigo,siku chache zilizopita mlimlaumu huku mkisema ndio namna mpya ya "kuunga mkono juhudi".Kumbe kawatelekeza wananchi,sasa hivi unasema "hakuwa na ugomvi na wapiga kura".Ajizi nyumba ya njaa

..mimi siyo miongoni mwa waliomlaumu.

..kuna kipindi Nassari alikwenda masomoni ktk chuo kikuu nje ya nchi.

..Je, aliwatelekeza wananchi? Kwanini hakufukuzwa ubunge?
 
Back
Top Bottom