Nasinzia nikikuwaza.......!!!!!!!!!!!!! !!!!!!!!

Bora usinzie kulkko ukose usingizi ukimuwaza shemejio. Lol
 
Shemeji unapaswa umkumbuke tu. Hupaswi kumfikiria wala kumuwaza. Weeh vipi banaa?
Afu nimekukosa kweli yaani
Kwani asingemuwaza , akamfikiria na kumkumbuka shemeji lake , ingebadili maana?
 
Shemeji unapaswa umkumbuke tu. Hupaswi kumfikiria wala kumuwaza. Weeh vipi banaa?
Afu nimekukosa kweli yaani

MmmmmH???We hujaona vituko vya mashemeji bana!!!!!!!!
 
Shemeji unapaswa umkumbuke tu. Hupaswi kumfikiria wala kumuwaza. Weeh vipi banaa?
Afu nimekukosa kweli yaani

Hakika nami nimekukosa muda mrefu sana dada yangu wa kambo, msalimie shemeji Paw tafadhali.
 
Last edited by a moderator:
Unamfahamu nameless???huu wimbo naupenda sana na naomba ni dedicate kwa shemeji yangu Chocs kiroho safi kabisa
:dance::dance:

Kiroho safi kabisa nimeshukuru kumtambua Chocs kama shemejio.
 
Last edited by a moderator:
Shemeji unapaswa umkumbuke tu. Hupaswi kumfikiria wala kumuwaza. Weeh vipi banaa?
Afu nimekukosa kweli yaani

Kumbe ndiyo iko hivyo!
Noted : to my hansard .
Afu kumbuka niliring udada/ukaka hiari, na nikakuregard as my Sis .
Shangazo hukunipa support toshelevu . Ni kama ulinipa shit flani hivi !
Wambeya wakanitonya eti kwenu mpaka ningekua namiliki gari , banga la adabu ndiyo undugu ungeread , btw ndinga sasa nishan'ua !
Leta neno .
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…