Pole mwaya, be calm yupo atakayekuja kuona thamani yako. But why akuone malaya? Ulishawahi kumuonesha ishara zozote hadi akuone hivo?( ulimuomba pesa?)

kumbe mnajijua kuomba pesa ni umalaya wa Chini Chini Kwani ata JF watu wanahack?Nahisi hii account imehakiwa
Iv na mwanaume anaeomba pesa anakua kundi gani?kumbe mnajijua kuomba pesa ni umalaya wa Chini Chini
Sent from my SM-A325F using JamiiForums mobile app
Ndiyo unaomba hela ya nini? Ya uchakavu wa mbususu ama? If yes huo ni uhuni.kumbe mnajijua kuomba pesa ni umalaya wa Chini Chini
Sent from my SM-A325F using JamiiForums mobile app
Ukiona hivyo jua kitaani kwao wadau wanamkwepa. AmeshindikanaYani kulalamika kote huko kumbe hata jamaa mlikuwa hamjaonana?
Hebu acha kuwa na sonona ya mapenzi, tafuta kimtu chako personal hapo mtaani kwenu mzae japo katoto kamoja ka kukukeep busy.