Jorge WIP
JF-Expert Member
- Jul 12, 2018
- 3,567
- 5,359
Sad & desperateMkuu unataka nisemeje ?
Sad & desperateMkuu unataka nisemeje ?
wanalea kwa kuuza "ngozi"wanalea wenyewe
ndio
Halafu cha ajabu anataka kutununia wote wakati na mimi namtakaPole mwaya, be calm yupo atakayekuja kuona thamani yako. But why akuone malaya? Ulishawahi kumuonesha ishara zozote hadi akuone hivo?( ulimuomba pesa?)
Alijirahisi Sana...alafu anaonekana ni wale wanaopenda ghafla from nowhere. Unampenda mtu ambaye hamjawahi kuonana?Pole mwaya, be calm yupo atakayekuja kuona thamani yako. But why akuone malaya? Ulishawahi kumuonesha ishara zozote hadi akuone hivo?( ulimuomba pesa?)
Mapenzi yana nguvu sana mkuu, unaweza penda mwandiko tu wa mtu na ukafall in love kweli kwelii. So inawezekana kupenda hata bila kumuona mtu ila muhimu tahadhariAlijirahisi Sana...alafu anaonekana ni wale wanaopenda ghafla from nowhere. Unampenda mtu ambaye hamjawahi kuonana?
Too sad.
Kasema ukimfata pm anakubwaga hapa😂😂 you better be careful 😀Halafu cha ajabu anataka kutununia wote wakati na mimi namtaka
Mi nimekataliwa mbele hadhara sembuse hapaKasema ukimfata pm anakubwaga hapa😂😂 you better be careful 😀
The master sugu himself, nenda baba huko PM 😀Mi nimekataliwa mbele hadhara sembuse hapa
Mkuu nakusalimia 😀👋Mwanamke ana miaka michache sana ya ku "shine" ambapo hapo wale wajanja ndio hua wanapata waume wa kuwaoa. Wale ambao sio wajanja hudhani kwamba wataendelea ku shine forever so wanatanguliza nyodo, majivuno na starehe. By the time anakuja kushtuka kashagonga 30 na wale vijana wote aliowaletea nyodo wameshaoa wana familia zao ndio kuanza kukimbilia makanisani.