Nasikia mingurumo ya ajabu angani dsm

Ndengaso

JF-Expert Member
Jul 18, 2014
7,366
13,225
Ni saa tisa usiku dsm , nikiwa nawaza mawili matatu nimesikia bonge la mngurumo usiokua na mpangilio...sijui ni radi, bomu, ndege au UFO au naota ? Anyway let me sleep tutajua nini kimetokea......
 
Radi hiyo

wewe, acha ushamba
 
Magu kabana kila kona nikajivumbua nna kipaji cha kurithi.

Jamaa kama kalalia maharagwe, chipsi ama pilau anaweza akawa anatengeneza mabomu hapo bila kujistukia, akadhani mwisho wa dunia umefika.
atakua mwenyewe huyu, siku hizi wewe ni mtabiri? kweli nilikosa mengi kitambo
 
Ni saa tisa usiku dsm , nikiwa nawaza mawili matatu nimesikia bonge la mngurumo usiokua na mpangilio...sijui ni radi, bomu, ndege au UFO au naota ? Anyway let me sleep tutajua nini kimetokea......
wanaume wa Dar wana matatizo yaani hata muungurumo wa roli la mchanga imeishakuwa shida.

swissme
 
Ni saa tisa usiku dsm , nikiwa nawaza mawili matatu nimesikia bonge la mngurumo usiokua na mpangilio...sijui ni radi, bomu, ndege au UFO au naota ? Anyway let me sleep tutajua nini kimetokea......
"Wakazi wa Mbagala inabidi myazoee mabomu kama wenzenu wa Kipawa walivyozoea milio ya ndege" - W. Lukuvi, RC
 
Madhara ya kula vitu vigumu vigumu just before sleeping.... sasa hivi utaanza kuota unafukuzwa na ng'ombe au umegeuka ngiri

Tengeneza mfumo mzuri wa kula kwa chakula bora, kwa wakati na upunguze kuwaza vitu vya kutisha
 
Back
Top Bottom