Mwanza ni international airport mkuu, unless kama hufahamu maana ya international airport!
Ukifika Dar es Salaam, wakazi wa Temeke nao wanalalamika wametengwa tofouti na wilaya zingine kama Ilala na Kinondoni, wanasema bandari ipo wilaya yao lakini hakuna barabara hakuna maji, hakuna umeme.
sasa mbona ukiambiwa serkali yao ni dhaifu na chama chao ni cha kipuuzi unabisha???
CCM INA SHULE ZAKE (hasa za sekondari).....CHAMA GANI KINGINE KINA SHULE HATA MOJA.....? HATA YA CHEKECHEA....? ILI TUNAPOONGEA TUWE NA FIRM GROUND.......!
Tuache porojo tujenge nchi kwa vitendo
Sio kila shida zako ni CCM ndio imesabaisha shida zingine ni matokeo ya yale uliyoyatengeneza kwa mikono yako.
Mwanza watu wanafanya kazi nenda mitaa ya Libert, Uhuru, Lumumba, Rufiji, Karuta, Nyerere, Bantu, Makongoro, na kwingineko wewe bakia kupiga porojo na kulalamika humu JF.
Subiri Chadema wachukue nchi mtakuwa mnapewa pesa kila siku.
Sio kila shida zako ni CCM ndio imesabaisha shida zingine ni matokeo ya yale uliyoyatengeneza kwa mikono yako.
Mwanza watu wanafanya kazi nenda mitaa ya Libert, Uhuru, Lumumba, Rufiji, Karuta, Nyerere, Bantu, Makongoro, na kwingineko wewe bakia kupiga porojo na kulalamika humu JF.
Subiri Chadema wachukue nchi mtakuwa mnapewa pesa kila siku.
Hapo red ndipo paliponigusa. Ili reli zote zife; matajiri waweze kusafirisha mizigo kwa kutumia barabara kwa malori yao. Barabara badala ya kukaa miaka 20 itakaa miaka kumi. Mungu isaidie Tz wajue pa kutokea.GreatThinkers,
Naskia kuna malalamiko kuwa Kanda ya ziwa licha ya kuwa Migodi yote ya Dhahabu iko kule hakuna hata international airport, Mwanza airport ni kama shule ya kata ni kweli?
Nasikia kuna Malalmiko Rocky City Mwanza, Kikwete hadi December 2011 hajaleta hata Sh. kumi ya ruzuku ktk Jiji wakati hadi leo alitakiwa awe ameshatoa 40Bilioni ili kuwakomoa kwa kuwapiga chini ktk Uchaguzi ni kweli?
Nasikia kuna malalamiko, yakuwa lile Jiwe maarufu la Bismack pale Kamanga Ferry lililokuwa ktk noti ya Tsh. 1000 likiwa na sahihi ya Mramba na Balali pia wameiondoa na kuweka kilima cha pale Gairo kikiwa na sahihi ya Mkulo na Ndulu, ni kweli?
Naskia kuna malalamiko kanda ya ziwa kuwa licha ya kuwa na watu 16mil kati ya 45mil Tz, Katiba imejadiliwa Dodoma, Dar na Zanzibar, hawataki kabisa kuwashirikisha kisha wanataka CCM muwapiguie kura, ni kweli?
Naskia Kuna malalamiko kuwa kanda ya ziwa licha ya kuwa asilimia hamsini ya wasomi wote tanzania wanatoka kule hakuna hata chuo kikuu hata kimoja cha serikali ni kweli?
Naskia kuna malalamiko kuwa kanda ya ziwa licha ya kuwa na madini yanayoweza zalisha Cement yako pale Shinyanga hakuna hata mpango wa kujenga kiwanda licha ya kuwa 2005 mliahidiwa ni kweli?
Naskia kuna malalamiko kuwa kanda ya ziwa mkoa mpya wa Simiyu umeomba ile barabara inayopita serengeti mmeomba ipitie Lamadi, bariadi kuja Hydom na kuunga Babati naskia wamekataa ni kweli?
Naskia kuna malalamiko kuwa kanda ya ziwa kuna hakuna viwanda licha ya kuwa mna bidhaa nyingi lakini vinajengwa vyote pwani eti msafiri mkaombe vibarua Kibaha na bagamoyo ni kweli?
Nasikia kuna malalamiko kanda ya ziwa kuwa ili bandari ya nchi kavu Isaka-Shinyanga vijijini nayo imekufa ili kuimalisha ajira ya pwani na kuanzisha bandari mpya ya nchi kavu Chalinze ni kweli?
Naskia kuna malalamiko kuwa wilaya nyingi za zamani kama Musoma vijijini,Shinyanga Vijijini hazina hata makao makuu lakini baadhi ya zilizoteuliwa juzi juzi tuu zimejengwa vizuri ile mbaya ni kweli?
Sasa kama ni kweli mnangoja nini- Hameni wote Si Si EM inaonekana wanachumia kwenu halafu wanawekeza kule Chalinze
Yote uliyosema ni kweli, mimi ni mojawapo ya waathirika wananchi wa kanda ya ziwa. Napenda kuogezea
1. Zaidi ya asilimia 99 ya watu wa kanda ya ziwa hawana maji ya bomba licha ya kuzungukwa na ziwa la pili kwa ukubwa duniani
2. zaidi ya asilimia 99 hawana umeme
3. Asilimia >90 ya watu hawajawahi kuona barabara ya rami
4. Shule za msingi watoto hawapewi chakula, wanakaa chini, madarasa yameezekwa kwa nyasi.
5. Shule za secondary za kata hazina umeme, walimu, vyoo, mabweni nk
Unaweza kuongezea pia, CCM NI MAAFA YA KANDA YA ZIWA.
CCM INA SHULE ZAKE (hasa za sekondari).....CHAMA GANI KINGINE KINA SHULE HATA MOJA.....? HATA YA CHEKECHEA....? ILI TUNAPOONGEA TUWE NA FIRM GROUND.......!
Tuache porojo tujenge nchi kwa vitendo
Mko wengi mno....mkisoma mtatisha....
Kuna Open University Teh!Teh!teh!
rudi tumboni uzaliwe kanda ya ziwa.greatthinkers,
naskia kuna malalamiko kuwa kanda ya ziwa licha ya kuwa migodi yote ya dhahabu iko kule hakuna hata international airport, mwanza airport ni kama shule ya kata ni kweli?
Nasikia kuna malalmiko rocky city mwanza, kikwete hadi december 2011 hajaleta hata sh. Kumi ya ruzuku ktk jiji wakati hadi leo alitakiwa awe ameshatoa 40bilioni ili kuwakomoa kwa kuwapiga chini ktk uchaguzi ni kweli?
Nasikia kuna malalamiko, yakuwa lile jiwe maarufu la bismack pale kamanga ferry lililokuwa ktk noti ya tsh. 1000 likiwa na sahihi ya mramba na balali pia wameiondoa na kuweka kilima cha pale gairo kikiwa na sahihi ya mkulo na ndulu, ni kweli?
Naskia kuna malalamiko kanda ya ziwa kuwa licha ya kuwa na watu 16mil kati ya 45mil tz, katiba imejadiliwa dodoma, dar na zanzibar, hawataki kabisa kuwashirikisha kisha wanataka ccm muwapiguie kura, ni kweli?
Naskia kuna malalamiko kuwa kanda ya ziwa licha ya kuwa asilimia hamsini ya wasomi wote tanzania wanatoka kule hakuna hata chuo kikuu hata kimoja cha serikali ni kweli?
Naskia kuna malalamiko kuwa kanda ya ziwa licha ya kuwa na madini yanayoweza zalisha cement yako pale shinyanga hakuna hata mpango wa kujenga kiwanda licha ya kuwa 2005 mliahidiwa ni kweli?
Naskia kuna malalamiko kuwa kanda ya ziwa mkoa mpya wa simiyu umeomba ile barabara inayopita serengeti mmeomba ipitie lamadi, bariadi kuja hydom na kuunga babati naskia wamekataa ni kweli?
Naskia kuna malalamiko kuwa kanda ya ziwa kuna hakuna viwanda licha ya kuwa mna bidhaa nyingi lakini vinajengwa vyote pwani eti msafiri mkaombe vibarua kibaha na bagamoyo ni kweli?
Nasikia kuna malalamiko kanda ya ziwa kuwa ili bandari ya nchi kavu isaka-shinyanga vijijini nayo imekufa ili kuimalisha ajira ya pwani na kuanzisha bandari mpya ya nchi kavu chalinze ni kweli?
Naskia kuna malalamiko kuwa wilaya nyingi za zamani kama musoma vijijini,shinyanga vijijini hazina hata makao makuu lakini baadhi ya zilizoteuliwa juzi juzi tuu zimejengwa vizuri ile mbaya ni kweli?
Sasa kama ni kweli mnangoja nini- hameni wote si si em inaonekana wanachumia kwenu halafu wanawekeza kule chalinze
Wewe mshari huna lolote. Takwimu zako zinafaa sana Kwenye mchezo wa pwagu na pwaguzi. Toa takwimu za ukweli na siyo kusanifu wana kanda ya ziwa. Namba 1 hadi 3 Uongo mtupu. Fanya utafiti wa kina.Mko wengi mno....mkisoma mtatisha....
Mko wengi mno....mkisoma mtatisha....