tamsana
Platinum Member
- Jan 13, 2012
- 3,842
- 8,266
Ni matumaini yangu kuwa wote humu ni wazima wa afya, samahani nimetumia tecno p5 kwa mwaka sasa lakini naona kama ndo imefikia mwisho kwasababu pamoja na jitihada zangu bado nashindwa ku update apps,
nina kiasi cha laki 3 kwahiyo nawaomba wataalam wa smartphone mnishauri ni sim gan naweza pata ila isiwe tecno wala huawei.
Asanten
nina kiasi cha laki 3 kwahiyo nawaomba wataalam wa smartphone mnishauri ni sim gan naweza pata ila isiwe tecno wala huawei.
Asanten