min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 50,993
- 142,393
Watajua wenyeweWapuuzi kweli. Kuna rafiki yangu mmoja alikuwa anasugua paji lake la uso kwa jiwe ili sijda yake ionekane wazi naye atambe.
Watajua wenyeweWapuuzi kweli. Kuna rafiki yangu mmoja alikuwa anasugua paji lake la uso kwa jiwe ili sijda yake ionekane wazi naye atambe.
Walokole ndio wenye tabu nyingi sana, kutwa kupiga kelele kwa sauti ya zege.Watajua wenyewe
Walokole hatasio wakuwazungumzia hao ndio viazi wa mwishoWalokole ndio wenye tabu nyingi sana, kutwa kupiga kelele kwa sauti ya zege.
Wakiristo wa leo wamepewa kitabu yaani ndio Ahlu kitab?Quran inasema tofauti na bukhari,na Quran ndiyo yenye uislam
Quran inasema mmehalalishiwa chakula cha waliopewa kitabu(kile cha halali) na chakula chenu ni halali kwao
Nakushauri fuata Quran badala ya vitabu vinavyowaweka waislam mbali na Quran
Nashukuru sijala chakula cha krismass.
Sio rafiki wala jirani aliejaribu kunialika au kuniletea.
NdiyoHahaha kwahiyo sisi washirikina au sio mwamba?
Sisi ndie tulimroga Mtume Mudi?
😁😁😁
#Matako yake hajui anacho ongea, punguzeni chuki Kila mtu abaki anacho amini ukiponfa ukiristo ,Uislam ni Imani na utamaduni wa mwarabu ni vyema kuweka mstari mwekundu # tuheshimu Kila mtu Imani yake whether ni Pagan or believer.ko waarabu sio jamii wala Taifa? au ni aliens?
Hujakosea...Nchi imejaa udini hii
Humu Jf inaongoza Kwa udini
Kwani wa wakati wa mtume tu ndiyo waliopewa kitabu?..wa Leo Wana tofauti gani na wale wa wakati wa mtume?Wakiristo wa leo wamepewa kitabu yaani ndio Ahlu kitab?
Those type of peoples hawanaga akili, hawana logicko waarabu sio jamii wala Taifa? au ni aliens?
Leo mtume wa gwajiboy? Mwanamapinduzi?Kwani wa wakati wa mtume tu ndiyo waliopewa kitabu?..wa Leo Wana tofauti gani na wale wa wakati wa mtume?
Wana mitume wengi hao,mtume hawamchukulii kama sisi tunavimchikulia,maswahaba wa yesu wanawaita mitumeLeo mtume wa gwajiboy? Mwanamapinduzi?
Hahaha 😂Walokole hatasio wakuwazungumzia hao ndio viazi wa mwisho