NASHUKURU SANA

unexpected

Member
Sep 30, 2016
8
1
Kwema wadau wa jf.
Nashukuru kuwa miongoni mwa watu wanaonufaika na uwanja bora kabisa wa fikra pevu za watanzania wenye nia njema na taifa lao na wachache wenye nia mbaya na bila kusahau group la watu wenye kuchalenji mambo mbalimbali. Kwa kweli jf ni sehemu ya maisha yangu na pengine niseme ukweli kwamba najuta kuchelewa kuifahamu jf. Mbarikiwe sana wadau wote kwa ujumla hususani waanzilishi.
Ombi langu ni namna mimi kuweza kupost mawazo yangu kila siku huwa nashindwa hususani ninapoambiwa nichague sub-forum. Nifanyaje katika hilo?
Weekend njema.
 
unexpected karibu sana humu ndani. Kuhusu kuweza kupost nadhani ni rahisi sana maana hizo sub forums zinakuelekeza mada zako uziweke katika forum gani kulingana Na ujumbe wake.! Taratibu utaelewa
 
Back
Top Bottom