Nashukuru sana kwa ushauri wenu

WOLF SEPTICEMIA

Senior Member
Dec 11, 2017
168
102
Hodi wakuu!

Napenda kushukuru kwa mchango wenu wa mawazo yenu kwa kunishauri kwa upendo na wengine kuwa na hasira ila kifupi nimesaidika sana Mungu awe nanyi wapendwa ila tafadhari Sana punguzeni kutumia maneno makali na matusi kwani hayajengi zaidi unakuwa una haribu mentality ya mtu, kwa namna hiyo tutapoteza wependwa wanaotaka ushauri wenu kwa stress.
Nawasilisha
 
Hodi wakuu !
Napenda kushukuru kwa mchango wenu wa mawazo yenu kwa kunishauri kwa upendo na wengine kuwa na hasira ila kifupi nimesaidika Sana mungu awe nanyi wapendwa ila tafadhari Sana punguzeni kutumia maneno makali na matusi kwani hayajengi zaidi unakuwa una haribu mentality ya mtu , kwa namna hiyo tutapoteza wependwa wanaotaka ushauri wenu kwa stress .
Nawasilisha
Karibu tena mkuu.
 
Hodi wakuu!

Napenda kushukuru kwa mchango wenu wa mawazo yenu kwa kunishauri kwa upendo na wengine kuwa na hasira ila kifupi nimesaidika sana Mungu awe nanyi wapendwa ila tafadhari Sana punguzeni kutumia maneno makali na matusi kwani hayajengi zaidi unakuwa una haribu mentality ya mtu, kwa namna hiyo tutapoteza wependwa wanaotaka ushauri wenu kwa stress.
Nawasilisha
Baada ya kushukuru, hutaki tena ushauri mwingine?
 
Back
Top Bottom