donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Salaam wakuu,
dah hatimaye leo nimekomaa tangu asubuhi kuhakkikisha namaliza lile zoezi la awamu ya pili la uandikishwaji wa vitambulisho vya uraia. Ila nimeamini TZ kila kona ni foleni aisee, watu walikua nyomi mpaka nikawa nawaza kuondoka nirudi kesho ila hatimaye nimemaliza. so whats trending here in chitchat?