Nashukuru nimeitwa UHAMIAJI

MUHEZAKAYA

Member
Joined
Nov 14, 2014
Posts
15
Reaction score
9
Awali ya yote napenda kumshukuru M/MUNGU kwa kunijaalia kuwa miongoni mwa waliochaguliwa,bila kuwasahau wanajamvi kwa kuweka posts zakunitia moyo kabla na baada ya usaili,nawaombea kwa mungu muwe na moyo huohuo daima wala msichoke,lakn naomba kulza tena Hiv kama umepitia JKT bado utakwenda depo lao tena au unakwenda kozi yao ya uhamiaji bila kuptia depo? naomba kujibiwa wadau.
 

Mkuu ile ID yako ya kwanza ni nani vle, maana hii inaonekana ni new arrival.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…