Una negative attitude change hiyo kwanza.
Kama una dini jikite katika ibada na kuyasoma maneno ya dini yako na jitahidi uyaamini.
Pia waweza jaribu tajihudi,vile vile badili circle ya watu wako na matumizi ya muda wako.
Acha kuangalia movie za kutisha.