Prince Mujubu
JF-Expert Member
- Jun 7, 2016
- 340
- 249
Unaijua hiyo mkuu, Which precautions may i take?Kitalamu ringtone fever if am not mistaking
Ukweli saivi niko broke ila the most nahisi naweza pokea bad newsHuenda una hofu fulan..au una majanga mengi...pole sana
Sawa mkuu ila nishajaribu kubadili ila nikiizoea tu shida inarud palepalenenda kapime presha kwanza kama iko sawa pili kama hutojali badilisha hiyo ringtone
Nilishawahi kupatwa na situation Kama hiyo. Iliisha yenyeweHuenda una hofu fulan..au una majanga mengi...pole sana
Ulishajaribu kutafta suluhisho mkuu tusaidianeDhuuu huuu ugonjwa nilikuwa nao na nina hisi bado ninao
Mkuu sina madeni wala majanga yoyote niko na stress tu za kawaida za maisha.Utakuwa un madeni au majanga ya namna fulani
Vimeo vipi mkuu sina mpenz wala madeni.Hauna vimeo kweli?
Ova
Duh!Vimeo vipi mkuu sina mpenz wala madeni.
Ndio hzohzo stress zinakuchanganyaMkuu sina madeni wala majanga yoyote niko na stress tu za kawaida za maisha.
Thanks mkuu kuzima simu for three days?huo mtihani mkubwa ntajaribu lakini.Uko addicted sana na simu pasi na shaka, anza kujizoesha kwa kuizima simu yako hasa nyakati za usiku unapolala au hata wakati wowote unapotaka kupumzika.
Niliwahi kukumbwa na hali kama hiyo, nikawa naizima simu yangu hata kwa siku mbili au tatu mfululizo sijihusishi nayo kabisa kwa muda wa miezi kadhaa nikaanza kuizoea hali ya kukaa bila kuwa na simu mwishowe ikatoweka unless unatumia simu kuendesha kazi zinazokuingizia kipato chako kiasi kwamba ukiiacha kwa dakika kadhaa inapata hasara