Principle girl
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 1,675
- 1,755
Habari za jumapili wana JF.
Mimi ni msichana mwenye 24+ na nimepitia relation tatu mpaka hapa nilipo .
Tatizo katika hizo relation zote nimeishia kuumizwa. Hii hali imenipelekea kutokuwa na imani kabisa na men.
Umefikia hatua hata wale wanaojitokeza kuhisi ni walewale wadanganyifu.
Kiukwel naogopa sana kuingia katika relation na nimekuwa mwoga na sielew huu uoga utaisha lini.
Asanteni.
Huwa natoa ushauri nasaha kwa wanandoa na wapenzi. Sitakutoza pesa wala kukuomba papuchi. Ni wito tu nimepewa na nimeshasaidia wengi. Ukipenda ni PM. Huna hata haja ya kunipa namba yako ya simu. Tunaweza kumaliza mambo yote hapa hapa jf tukitumia id zetu hizi hizi za bandia.Habari za jumapili wana JF.
Mimi ni msichana mwenye 24+ na nimepitia relation tatu mpaka hapa nilipo .
Tatizo katika hizo relation zote nimeishia kuumizwa. Hii hali imenipelekea kutokuwa na imani kabisa na men.
Umefikia hatua hata wale wanaojitokeza kuhisi ni walewale wadanganyifu.
Kiukwel naogopa sana kuingia katika relation na nimekuwa mwoga na sielew huu uoga utaisha lini.
Asanteni.
Umemaliza, wanawake wengi ndio huwa chanzo cha mahusiano yao kuharibika kisha lawama zote wanawaangushia wanaume,kwa kua wanaume hatupendi makuu unaamua kuachana na mtu kimia kimia bila kumwambia tatizo sasa yeye anachukulia kua mwanaume ndio mbaya kumbe yeye ndie chanzo cha tatizo.Pole sana but usiogope kuwa katika relation sababu sio kwamba wanaume wote ni wa aina hiyo na kama umeumizwa katika relation tatu zote kaa fikiri inawezekana tatizo likawa kwako,tafakari kwa kina upate ufumbuzi kwanii relation hizo zote uumizwe?fikiri wapi unakosea then ujipange upya angalia je ni sababu gani zilizopelekea hadi ukaumizwa chambua katika kila relation ulopitia..maana unaweza laumu kumbe sababu ya wewe kuumizwa ni wewe mwenyewe.
Umemaliza, wanawake wengi ndio huwa chanzo cha mahusiano yao kuharibika kisha lawama zote wanawaangushia wanaume,kwa kua wanaume hatupendi makuu unaamua kuachana na mtu kimia kimia bila kumwambia tatizo sasa yeye anachukulia kua mwanaume ndio mbaya kumbe yeye ndie chanzo cha tatizo.
Nitafute kwanza tusomane tabia, ila hamna sexy kwa kipindi kama miezi sita, huku tunachunguza kwa ujumlaHabari za jumapili wana JF.