Nashindwa kushika ujauzito, Je! Sindano za uzazi wa mpango zinaweza kuwa sababu?

Kwa sasa uko katika ndoa? Kutumia sindano au madawa yoyote ni kuweka maabala tumboni.
Ni laana kubwa kutumia majira wakati uko nje ya ndoa, miaka 25 ni binti mdogo tu ambaye bado sana.
Nakuomba uingie kiroho zaidi umwombe Mungu kwa kupita njia sahihi za kufunguliwa.
Ukihitaji msaada zaidi usisite kunitafuta
 
At this age mwanaume asinidanganye nijaze mauzauza kwenye kizazi nooo, tunahesabu kama tarehe hazieleweki Kuna nailoni zile classic na zenyewe mara mojamoja aisee.

Wadada kuweni makini sana unajidunga sindano, vidonge, vitanzi ili umpe all the time!! Je na hayo yote hajawahi kuchepuka??? Week 1 anashindwa kuvumilia ukamkojoza kwa mechanism nyingine?

Ndo mnakuta matumbo makubwaaa, matiti hayana ushirikiano! Ladha ya K haieleweki ni rosti au mchemsho!!

Japo myafanye kwa busara sio ubabe.
:D:D:D:D:D:D
 
Asante tuna mtoto mmoja miaka sita,nilitumia sindano mbili kwa miez sita,mzunguko haukuwa sawa lkn nilivoenda Hosptal nilicheki vipimo vya homon FSH na PRL iko sawa,Dk akanipa duphaston vidonge 14 kuanzia siku ya 11 ya MP nikafanikiwa kupata tens baada ya siku 28 ,baada ya hapo akanipa metformin vidonge 30 mwez mzima,ovamit vidonge kumi HIV nilianza siku ya tatu pia nilkunywa pamoja na vitamin e,baada yahapo akanipa p natal mwez mzima,ndo Niko naendelea navo ss hizo p natal na metformin,ilipofika siku ya 16 nilipima OVULATION KIT ikaonesha positive nikasex na Mr Jana nilkuwa cku ya 19 nikachek ikaonyesha mstar kwa mbal sana,au kitakuwa kilidanganya ? Leo nipo siku 20 trh ya bleed mpaka trh 25,asante nahtaj ushaur wako
Dada grace pole,majukumu yalizidi sikurudi tena. Umesema mna mtoto 1 wa miaka 6, ulizaa na huyo Mume uliyenaye!? Km jibu ni ndiyo,basi tatizo kubwa lipo kwako km hakupata hitilafu yoyote mumeo.

Km tatizo lipo kwako,linatokana na mambo haya mawili muhimu.
1-Wasiwasi,umeshaanza kuwa na hofu ya kupoteza uzazi hasa kutokana na maneno ya mitaani yanayotokana na tafsiri hasi ya Dawa hizi za uzazi wa mpango. Me nataka nikuondoe hofu,Dawa hizo hazina madhara hayo unayoelezwa mitaani. Madhara kweli yapo,lkn ni kwa kiwango cha kawaida km ilivyo kwa Dawa zingine. Dawa zimefanyiwa utafiti zikaaminiwa ndo maana zimeruhusiwa kwa matumizi ya binadamu.

Hivyo ondoa hofu na Mume mwambie asikuongeze hofu kwa kukupa lawama juu ya hilo. Kuwa mwenye furaha,hasa kipindi mnakutana kwa siku za kupata mimba.

2-ktk Maelezo yako,umesema mpangilio wako wa hedhi haukuwa sawa ulikuwa unaenda kwa muda mrefu. Na unasema daktari alikupa dawa,je! Baada ya kupewa dawa ulirudi ktk mpangilio wako wa kawaida!?? Km jibu ni ndiyo,basi kuna tatizo la kujua kwa usahihi siku ya kupata mimba. Nataka nikupe hii formula km utaizingatia...!
Hesabu vizuri mpangilio wako,yaani weka kalenda yako. Siku zako unaanza kuhesabu kuanzia siku ya 1 kuona damu mpaka siku utakayoona damu mwezi unaofuata.

Hesabu vizuri bila kukosea,km mzunguko wako ni wa siku 30,hesabu kuanzia siku ya mwisho yaani hiyo siku ya 30 kurudi nyuma mpaka siku 15. Hiyo siku ya 15,Mume awe nae na mbegu za kutosha,awe hajafanya angalau kwa masaa 48 kabla ni uhakika utapata mimba. Vivyo hivyo km mzunguko wako ni wa siku 28,hesabu kuanzia siku ya 28 mpaka siku ya 15. Hiyo siku ni 100℅ kupata mimba km hakuna tatizo lingine.

Mwisho;km huyo mtoto siyo wa baba huyo,mshauri nae amuone daktari hata km utakuwa na taarifa kwamba aliwahi kuzaa nje. Lkn pia hata kwa mtoto uliyenae,ww ndo unajua kwa uhakika nani baba ya mtoto,maana unaweza kuwa unasema ni wake kwa sababu ulipata mimba ukiwa kwake lkn pengine ulikuwa unachepuka..! Ahsante.
 
Mimi ni binti wa miaka 25 niliwahi kutumia sindano za uzazi wa mpango mbili sasa na miaka miwili tangu niache na sijafanikiwa kupata mimba nilienda Hosptal nikaambiwa niko vizuri naombeni ushauri wenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Moja ya maudhi madogo ya Sindano ni pamoja na kuchelewesha kupata ujauzito kwa kipindi cha mienzi 3 - 6, zaidi ya hapo unahitaji kufanya uchunguzi ww na mwenzi wako kutafuta sababu nyingine
 
Sumu ya Hiyo sindano hukaa muda mrefu pia Stress ni mbaya unapokutana na mwenzako mfanye mmerelax tu sio kwa ajili ya mimba utajikuta umeconceive mbona utungaji wa mimba hauhitaji mapresha hayo.

Kingine tafuta dawa za chango kunywa
 
Ingia kwenye dawa za asili,hizi sindano za uzazi wa mpango sio poa,kuna watu wa tiba za aili wanaweza kukusaidia,huko kuna dawa za kila aina,za uzazi wa mpango,kukisogeza kizazi jirani nk,kuna jamaa yangu mkewe alitumia baada ya kutumia hizo sindano alikuwa ana ''bleed'' mfululizo,sikujua hatima yake ni nini,alafu mbaya zaidi watu wa uzazi wa mpango wanakwambia hizi tiba za uzazi wa mpango ni safi na salama wakati uhalisia hauko hivyo
pia acha kupaniki unaweza fanya mambo yakawa mabaya zaidi,ni mabadiliko tu yametokea kwenye mwili wako,after sometimes utarudi kawaida
 
Dawa yake utulie na ujisikie normal, tatizo una mawazo ya sindano bado, ukikubaliana na ushauri wangu utashika ujauzito soon, tena jinsia Me. utaniambia.
 
Jiachie
Acha kufikiria juu ya mimba kabisa.. kuwa busy na mengine.. ukitenda nako usifikirie

Ila weww duh!! ulianza sindano hata haujui kama unaweza kupata mimba au la.. mpira ungefaa zaidi kujikinga huku ukivumilia kama huipendi.. ona sasa unahangaika kisa kutaka ngono.. Kaa chini usali pia na kutubu.

Hili liwe funzo kwa wasichana wengine.. tumieni mipira na sio ya kuwaingia mwilini na kuwapa tabu mfano huyu mawazoooo ta kufikiri mengi saaa.. kumbe anazidi kujiharibu..
 
Dada grace pole,majukumu yalizidi sikurudi tena. Umesema mna mtoto 1 wa miaka 6, ulizaa na huyo Mume uliyenaye!? Km jibu ni ndiyo,basi tatizo kubwa lipo kwako km hakupata hitilafu yoyote mumeo.

Km tatizo lipo kwako,linatokana na mambo haya mawili muhimu.
1-Wasiwasi,umeshaanza kuwa na hofu ya kupoteza uzazi hasa kutokana na maneno ya mitaani yanayotokana na tafsiri hasi ya Dawa hizi za uzazi wa mpango. Me nataka nikuondoe hofu,Dawa hizo hazina madhara hayo unayoelezwa mitaani. Madhara kweli yapo,lkn ni kwa kiwango cha kawaida km ilivyo kwa Dawa zingine. Dawa zimefanyiwa utafiti zikaaminiwa ndo maana zimeruhusiwa kwa matumizi ya binadamu.

Hivyo ondoa hofu na Mume mwambie asikuongeze hofu kwa kukupa lawama juu ya hilo. Kuwa mwenye furaha,hasa kipindi mnakutana kwa siku za kupata mimba.

2-ktk Maelezo yako,umesema mpangilio wako wa hedhi haukuwa sawa ulikuwa unaenda kwa muda mrefu. Na unasema daktari alikupa dawa,je! Baada ya kupewa dawa ulirudi ktk mpangilio wako wa kawaida!?? Km jibu ni ndiyo,basi kuna tatizo la kujua kwa usahihi siku ya kupata mimba. Nataka nikupe hii formula km utaizingatia...!
Hesabu vizuri mpangilio wako,yaani weka kalenda yako. Siku zako unaanza kuhesabu kuanzia siku ya 1 kuona damu mpaka siku utakayoona damu mwezi unaofuata.

Hesabu vizuri bila kukosea,km mzunguko wako ni wa siku 30,hesabu kuanzia siku ya mwisho yaani hiyo siku ya 30 kurudi nyuma mpaka siku 15. Hiyo siku ya 15,Mume awe nae na mbegu za kutosha,awe hajafanya angalau kwa masaa 48 kabla ni uhakika utapata mimba. Vivyo hivyo km mzunguko wako ni wa siku 28,hesabu kuanzia siku ya 28 mpaka siku ya 15. Hiyo siku ni 100℅ kupata mimba km hakuna tatizo lingine.

Mwisho;km huyo mtoto siyo wa baba huyo,mshauri nae amuone daktari hata km utakuwa na taarifa kwamba aliwahi kuzaa nje. Lkn pia hata kwa mtoto uliyenae,ww ndo unajua kwa uhakika nani baba ya mtoto,maana unaweza kuwa unasema ni wake kwa sababu ulipata mimba ukiwa kwake lkn pengine ulikuwa unachepuka..! Ahsante.
Acha kutuaminisha madawa ya uzazi wa mpango kila mtu analia nayo kwamba yanasumbua uzazi
 
Acha kutuaminisha madawa ya uzazi wa mpango kila mtu analia nayo kwamba yanasumbua uzazi
Me sikuaminishi na wala sijakataa km zina madhara nilichosema hazina hayo madhara km mnavyoaminishwa. Madhara yaliyopo ni sawa tu na madhara yaliyopo ktk dawa zingine. Hakuna dawa hata moja isiyo na madhara. Dawa zote madhara yake ni chini ya 40% ikifika 40% haiwezi kuingizwa sokoni ndo maana tafiti za dawa zinachukua muda mrefu.
 
Ameshajibu hilo kuwa ana mtoto ambaye ana miaka sita.
sikuona kama amejibu.
Kwa maelezo ninayoyaona humu na picha nzima ni kwamba hakuna tatizo kubwa hapo.
Najua mpaka saizi mhusika umeishatumia tiba nyingi, au umepata ushauri wa kila namna.

Mi nikushauri kitu rahisi tu.
Tumia vidonge vya uzazi wa mpango kwa myezi miwili(2) halafu sitisha na ufuate kalenda sasa ku-time siku nzuri kukutana na mr.
pengine unaweza kujiuliza sasa iweje tena utumie hivyo vigonge, najua juna hamu tena na njia za uzazi wa mpango, ila nimesema hivyo kwa sababu, hata nikiielezea humu itakuwa vumbi tu.

Kila la kheri kwa mhusika, kuleta mrejesho pia itakuwa vizuri.
 
pia kwa kuongezea, hayo ni maswahibu madogo tu hizo sindano, isikupe shida.

Hivyo vidonge hapo juu tumia kwa mtiririko mzuri, kama haufahamu namna vinavyotumika, basi hakikisha huko unakoenda kuvichukua (kwenye huduma za uzazi wa mpango hospitali au zahanati) wakuelekeze vizuri
 
Mimi ni binti wa miaka 25 niliwahi kutumia sindano za uzazi wa mpango mbili sasa na miaka miwili tangu niache na sijafanikiwa kupata mimba nilienda Hosptal nikaambiwa niko vizuri naombeni ushauri wenu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Check the following:

- Umewahi kutoa mimba, kama ndio, ukienda Hospital uwe muwazi.
- Huyo mwanaume unayeishi naye nenda naye aangaliwe, kuna jamaa yangu alikosa mtoto 6 years, alikuwa mgumu sana kwenda Hospital, nilipofanikiwa mpeleka alipata tiba ya Tshs: 15,000 na sasa ana watoto 5. Ni muhimu sana mwanaume naye akaangalie, tafuta lugha, maana kama ni Mkurya unamwambia hana uzazi anaweza kukushushia mangumi...
 
Back
Top Bottom