Nashindwa kumwelewa kwakweli

Yote hayo alokufanyia bado tu unataka kumuoa? Rangi gani mpk sasa hujaona maana ameshakuonyesha rangi zote na wewe bado unamn'gang'ania? Nyie ndio kwenye ndoa mnachinjaga wake zenu wakati tabia mbaya ulishazijua toka mwanzo na ungeweza kujiepusha nae
Eeet atabadilika kidogo kidogo kwenye ndoa
 
[emoji23][emoji23][emoji23]visanga na vimbwanga jf
 
Watu wengine Mungu anawaonyesha hatari iliopo mbele yake Dhahiri kabisa, live yaani, lakini mtu bado tu... Aiseee!!!
Huyu jamaa atakuwa kachezewa akili yani hana sababu ya kuendelea kubaki na uyo dada
 
Kinachoendelea kukuweka nadhani ni kutokupewa papuchi uichakatee

Miez saba upo upo tu kama kaka yake
Amka wewe kumekucha

Sababu moja tu apo inatosha izo zotee ni mateso hayo
 
mkuu recycle Bin inawezekana kachezewa asee, maana walau kama alionjeshwa kipochi tukasema utamu umemkolea, lakini walaaaa.
Labda kakolea kwenye hivyo visa ila kuna watu wanajua kuvumilia ujinga, miezi yote hyo mtu unahudumia na bado mtu haeleweki
 
4. Ana tabia anatoka kazini anapitia sehemu zake huko anazojua anarudi nyumbani kwao usiku mida ya saa nne au saa tano usiku,kwao wenyewe wameshamchoka na tabia zake,wanamlalamikia sana(Anaishi na mama yake tu,amelelewa na single mother)

Kijana kwa kifupi tu, usioe mwanamke aliyeshindikana kwao utaishia kuumiza moyo wako...

Mwana asiyefunzwa na wazazi, kitu pekee huweza kumfunza ni ulimwengu...
 
Unasubir nn mpka sasa kufanya maamuzi magumu makini??

Wavulana ckuiz wamekua wengi kuliko wanaume
 
Wanaume wameisha sio ajab ujawah ata kumpiga mashine
 
ndugu kwa haya uliyoandika inainyesha ni jinsi gani ulivyo dhaifu! huyo hata ukimuoa jua atakaa juu ya kichwa yako. jitathimini tena utaona mapungufu yako ni mengine sana maana huoni mbele yako itakuja kuwaje.
natamini ningekua karibu yako nikukate kibao cha haja mate yakutoke ili akili ikuingie maana umekua zoba sana kwa hayo. piga chini huyo chapu [emoji44]wanawake wazuri wenye tabia nzuri wapo wengi sana. sasa hapo huja muoa yupo hivyo akiingia huko ndani atakuwasha na vibao kisha unaishia kunywa sumu hivi hivi. wewe ni mwanaume gani unakua zoba kiasi hicho???
 
Unakwama wapi?

Licha ya haya yote anayokufanyia, bado unahitaji kuingia naye ndoani?
Tena unasema bado unampenda? Hivi nyie upendo wenu mnauokota wapi?

Hiyo mbona tayari ni ticket ya kuendelea mbele kutafuta wengine! Piga chini mapema kabla hujaumizwa zaidi.

Naona unanunua pressure kwa gharama kubwa sana.

Na kwenye kikao chetu kijacho utakuwa kwenye agenda ya kwanza!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…