mwenye shamba
JF-Expert Member
- May 31, 2015
- 978
- 1,766
Haloo waungwana,mimi nilikuwa na mpenzi wangu ambaye kwa kifupi nlilimpenda muno.nilikutana naye chuo miaka madhaa iliyopita.mara baada ya kuhitimu kila mmoja alienda kwao nahapo ndo shida ikaanza
Akawa ananionyesha dalili za moja kwa moja kuwa hanitaki.majibu mabovu kwa Simu,mizinga,ugomvi kidogo tu anadai tuachane
Baada ya kutafakari ikabidi nikubaliane nae juu ya swala la kuachana,hivyo tukaachana kiroho sari,
Baada ya kuachana nae nikaamua kutulia bila mpenzi maana alikuwa bado anaishi moyoni mwangu.nilikuwa nimefuta na kuharibu kila kitu chenye uhusiano nae ie namba,mkamblock kwenye social networks nk,
Sasa shida inaanza tangu tuachane mimi sijawahi hata kuwaza kama ntakuwa na mwanake mwingine zaidi yake. Nimejaribu kutafuta namba zake na kumweleza ukweli ila naona wala hana muda na mm kabisa.
Naombeni ushauri jamani naanzia wapi kumsahau??