Nashindwa kumuondoa kichwani

Nashindwa kumuondoa kichwani

kadodoo

Member
Joined
Mar 29, 2014
Posts
66
Reaction score
15
Habarini za asubuhi wapenzi wangu humu ndani naomba msaada wa mawazo niko njia panda mwenzenu nlikutana na huyu kaka muda kidogo tukawa marafiki mpaka wapenzi akanambia kuwa yeye wasichana huwa wanamuacha ila mimi nkimwangalia hana sababu ya kuachwa basi ikafika siku tukapanga mimi nkaenda kulala kwake mh mwanaume anamaneno ya ajabu kiukweli nkamwambia kama ni kweli huwa unaongea maneno haya kwa wanawake hawawezi kukuvumilia jaman sio wakati wa sex no inakuwa mshamaliza mnapiga tu story anaanza kuongea mambo ya ajabu.

Mara ajifanye anajilaumu wewe kwenda kulala kwake mara anajifanya anampenzi anampenda sana mara eti usije nizoea ukajibebesha mimba ili mradi akukele tu basi kiukweli nikashindwa nikamwambia maneno haya yote uko serious akasema ndio nikamwambia hata mie sirudi tena.

Kweli since that day hatujawasiliana tena na kama mwezi hivi ila mie nashindwa kabisa kumtoa kichwani namuwaza muda wote kozi nilienjoy sana sex nae na pia yeye pia alinambia najua umechukia but usiku wetu ulikuwa poa sana naomba ushauri nirudi ili nimzoee au niachane nae please ushauri nauitaji zaidi.
 
Me sikushaul kabixa kuludi.m2 gan anamaneno ya ajabu kiasi hicho.jalibu 2 kumsahau
 
Hana mpango na wewe anapita tu... ana mtu wake thats why anajihami usimzoee... hapo huna chako mfute tu kichwani....
 
Aisee! Kama unampenda kubaliana na kasoro zake...... Lakin kama hujampenda ila ilikuwa day worker bas tia kapuni.......
 
Unachotaka iwe una-enjoy kukazwa tu?....rudi km hyo ndio shida yako.
 
unabalaa kwel,yani kwajili alikukunja vizuri ukae unamuwaza...huyo hafai,
jitu likiwa halijiheshimu huwez ukafurahia maisha hata siku moja

tena ukijirudisha litakutukana kbs
 
Ha ha ha that guy is very slick. Huyo jamaa mjanja sana, alikuudhi makusudi ili usimsumbue. Watu wabaya sana, dah.
 
unabalaa kwel,yani kwajili alikukunja vizuri ukae unamuwaza...huyo hafai,
jitu likiwa halijiheshimu huwez ukafurahia maisha hata siku moja

tena ukijirudisha litakutukana kbs

Sure tell her akimbie faster...na asigeuke nyuma...
 
I do not understand why some women always go back or attracted to dudes who treat them like ----. Could it be low self-esteem?
 
Yani siku moja ndio uliona umemaliza kila kitu? Kweli jamaa na hakuhitaji alijaribu akaona siko kasepa kiugumu.
 
Mh kweli unaroho ngumu dharau zite hizo bd watamani kurudi loh
 
habarin za asubuh wapenzi wangu humu ndani naomba msaada wa mawazo niko njia panda mwenzenu nlikutana na huyu kaka muda kidogo tukawa marafiki mpaka wapenzi akanambia kuwa yeye wasichana huwa wanamuacha ila mm nkimwangalia hana ssababu ya kuachwa basi ikafika siku tukapanga mimi nkaenda kulala kwake mh mwanaume anamaneno ya ajabu kiukweli nkamwambia kama ni kweli huwa unaongea maneno haya kwa wanawake hawawezi kukuvumilia jaman sio wakati wa sex no inakuwa mshamaliza mnapiga tu story anaanza kuongea mambo ya
ajabu.

mara ajifanye anajilaumu wewe kwenda kulala kwake mara anajifanya anampenzi anampenda sana mara eti usije nizoea ukajibebesha mimba ili mradi akukele tu basi m kiukweli nkashindwa nkamwambia maneno haya yote uko seriouz akasema ndio nkamwambia hata mie sirudi tena.

kweli since zat day hatujawasiliana tena n kama mwezi hivi ila mie nashindwa kabisa kumtoa kichwan namuwaza mda wote kozi nilienjoy sana sex nae na pia yeye pia alinambia najua umechukia but usiku wetu ulikuwa poa sana naomba ushauri nirudi ili nimzoee au niachane nae plz ushauri nauitaji zaidi



All these are men's tricky when they are at work........,

Ameshakuonja, sasa apagawe na nini tena kwako.....?
 
Hivi kwa mwezi wote huo yeye ameshakutafuta? Na kama mwanaume ana maneno gubu kiasi hicho tena katika usiku wa kwanza kweli unamuweka katika moyo wako? Kifupi hakufai!!! Chapa lapa na mwingine yuko njiana atakuja tu!!! Mbona akina dada mnapenda kujitesa kwa mtu ambaye hata hakufikiriii? Si alikuambia ana mpenzi wake anayempenda sana?? Kwa mwanaume kutamka hivi mbele yako ni dharau kubwa mno!!! Tuulize tukuambie.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom