Nashindwa kumsahau

pole sweety usijali wala kumwazia saana. kama mungu kapanga utapata wako wa ukweli huyo achana nae.
 
Sijambo mwanangu,
ila bibi yako anaumwa huko kwetu kijijini
hivyo MUNGU akipenda naamkia huko kesho.

Tulia mwanaume wa kwako atakuja,
MUNGU amempangia kila mtu riziki yake.

Pole Mamndenyi, safiri na ufike salama, inshaallah..................Usisahau kumpa mama pole na salaam zangu.......
 
Sijambo mwanangu,
ila bibi yako anaumwa huko kwetu kijijini
hivyo MUNGU akipenda naamkia huko kesho.

Tulia mwanaume wa kwako atakuja,
MUNGU amempangia kila mtu riziki yake.

pole atapona, uniombee na mimi.
 
where is Excellent, dah! huu uzi unampita?




How are you dear Kabakabana.
Just try to relax and breathe in fresh air, jitahidi kujipenda kwanza wewe kabla hujampenda mwenzio
jipe percentage ya upendo katika nafsi yako, na ujione wewe ni wa muhimu zaidi katika maisha yako
hapo hutapata taabu sana kumsahau mtu ambaye BTW, he is just a second self kwako.
Nakuassure It happened to me once, nikashauriwa the same and it worked, am now happy hata nkimuona na 10 different girls
sishtuki, kwani I LOVE MYSELF.
 

Yaan umepatwa na wizi kwa X mpaka ukaamua kuuweka mkono huko> Pole sana
 

hehehe i think excellent is dead,thanx mamie so much.
 

dawa ndogo ni PM uishi maisha ya furaha na ujutie kwanini hukunijua mapema.....
 

nipende mimi statongozea wanawake wengine kwenye wall yangu ya fb. napromise. mi siku zote nakuona nikajua unamtu kumbe upo single!. nina bahati kweli.wewe ni riziki yangu. mia
 
nipende mimi statongozea wanawake wengine kwenye wall yangu ya fb. napromise. mi siku zote nakuona nikajua unamtu kumbe upo single!. nina bahati kweli.wewe ni riziki yangu. mia

hehe mzee wa mia mapromise meengi hata ntakufikiria
 
Mpendwa inaelekea mapenzi yanakutesa. Usikipe nafasi kitu kinachokutesa na kukusosesha raha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…