JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 2,118
- 4,879
Hizo warranty ni limited kulingana na nchi sasa bongo kama hawapo utagharamia usafiri wa kulipeka ulaya lifanyiwe service na kulirudisha bongo?Na wenye hela zao hawanunui hizo takataka mnazonunua nyie wanyonge,wao wanatumia zilizoko kwny warranty ikiisha wananunua jingine yaani Ni mwendo wa kucheza na warranty tu.


